TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Biblical principle, Mume ana wajibu wa kumpenda mke-afanye kila kitu kuuonyesha huo upendo na mke athibitishe kuwa kweli anapendwa. Mke jukumu lake ni kumtii mumewe katika KILA JAMBO.Si ndio unipende nami nikuheshimu!!! Thats the rule, kwahiyo ukiona kunipenda ni mzigo basi nami nitaona kukuheshimu ni mzigo vile vile.