Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Ndo kazi yenu wanaume acheni kulalamika mkumbuke tumetoka ktk mbavu zenu za kushoto......
Ni hongo kubwa sisi wanaume kukubali tuwe na mbavu pungufu ila zenu zmekamilika au mnataka tuwape na moyo kabisa ili mjue tunacare
 
Basi utambue kakuchoka, na kama kakuchoka basi hakukupenda, na kama alikupenda basi kuna mahali ulikosea ndio ukaharibu kila kitu.
Yan nyie wanawake kweli hamjitambui kabisa.... kwahiyo mnataka siku zote ss ndo tuwe makini kuhakikisha nyie mnapata kila mnachotaka kwa wakati.....yan kwa maana nyingine unataka kila mwanamke anayechepuka...kosa n la mwanaume wake????
 
Acha ukuda kama askari wa kibiti....
Akipatikana anaejua hayo yote jua huna chako kwa huyo mwanamke
Bhas huyo mwanamke aende moja kwa moja kwa huyo..anayeweza kufanya vitu vyote ...hvyo... wala asipoteze muda kwangu
 
Ndo kazi yenu wanaume acheni kulalamika mkumbuke tumetoka ktk mbavu zenu za kushoto......
Hata km .....
Hii haina tafsir et ndo tuwaendeleze...... maandiko yenyewe ...yameandika tuishi na nyie kwa akili...na sio kuendekeza kila mnachotaka.....nyie...vp
 
Utachapiwa mpaka uone dunia chungu
 
Utachapiwa mpaka uone dunia chungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... mkuu nipo makini xana..... haiwez tokea.... ciku hakuna mapenz ya kung'ang'anianA....mtu akizingua kidogo..anapigwa chini.... aende huko anakotaka kuchapwa.....shaur zake
 
Yan nyie wanawake kweli hamjitambui kabisa.... kwahiyo mnataka siku zote ss ndo tuwe makini kuhakikisha nyie mnapata kila mnachotaka kwa wakati.....yan kwa maana nyingine unataka kila mwanamke anayechepuka...kosa n la mwanaume wake????
Hebu soma upya nilichoandika alafu usome na nilichomjibu tena baada ya hiyo post.

Ila kwa swali lako la pili ni hiviii, wanawake tunaridhika kwa mambo madogo sana, ndio mara nyingi kuchepuka kwa mwanamke husababishwa na mwanaume, tofauti na kuchepuka kwa mwanaume ambapo mara nyingi husababishwa na mwanaume.
 
Hata km .....
Hii haina tafsir et ndo tuwaendeleze...... maandiko yenyewe ...yameandika tuishi na nyie kwa akili...na sio kuendekeza kila mnachotaka.....nyie...vp
Sio kutuendekeza bali ndivyo inavyopaswa.
 
Hebu soma upya nilichoandika alafu usome na nilichomjibu tena baada ya hiyo post.

Ila kwa swali lako la pili ni hiviii, wanawake tunaridhika kwa mambo madogo sana, ndio mara nyingi kuchepuka kwa mwanamke husababishwa na mwanaume, tofauti na kuchepuka kwa mwanaume ambapo mara nyingi husababishwa na mwanaume.
Kwa maana nyingine unataka kusema. .wanawake...wote wanaojiuza.....n sababu ya wanaume...wao sio
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..... mkuu nipo makini xana..... haiwez tokea.... ciku hakuna mapenz ya kung'ang'anianA....mtu akizingua kidogo..anapigwa chini.... aende huko anakotaka kuchapwa.....shaur zake
Utaacha wangapi
 
Shida ya wanawake ukiwaonesha uzuri wanakuona bwege ati siku nzima unacheka tu siku utaexpect mfanye kitu serious atachukulia tu mzaha hiyo tabia labda uzunguni ndo nackia kuna real luv
 
Back
Top Bottom