Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

kwa hiyo mnataka tuwe comedian sasa ndani?hivi nawaza ada za watoto,kodi ya nyumba na mataka taka kibaoo then nipate muda wa kujichekesha chekesha kwa mwanamke ili anipe mapenzi duu !hilo gumu sana mi nadhani nipe nikupe tushawishiane ktk kuleta mapenzi ya kweli na hamasa yake kwa ujumla sio jukumu la mtu mmoja
 
Nyie si ndio vichwa jamani! Hebu mtupetipeti huko msitafute visingizio.

Cc Iceman 3D
 
Mimi naona ni usumbufu na kero eti kukupetipeti!khaa!shit!
 
Samsoni alim bebisha delilah...kilichotokea nadhani unakijua.......
 
Back
Top Bottom