Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Ila tatizo hamnaga kushiba mahaba mna demands za kufa mtu. Kakitu kdg mnafuta mema yote ya mme wako,malalamiko na maneno kibao. Ndo maana skhz nimeanza kuwaelewa kaka zangu kuwa kumtimizia mwa amke mahitaji yake haiwezekani only bse hata nyie hamna correct definition za nini mnataka
 
Hii ni kweli. Wanawake wanataka kusikia maneno mazuri toka kea wanaume na huea kweli yanawasisimua. Hata hivyo ambalo sijawahi kuelewa ukiendekeza sana hii kitu mwanamke hukuona kama fala fulani. Na anaweza akawa anakutolea maneno ya kejeli. No kweli tunapaswa kuwapa wanawake maneno matamu ila wakati mwingine ni vizuri kubadilika badilika ili usimjengee mwanamke mazoea ya kudekezwa. Ili ya kubadilika eakati fulani huwa ni kama control mechanism ambapo unakuwa unatuma signal keamba anaweza kukosa anachokipenda. Kama ameanza kutoka kwenye mstari kama vile kianza dharau humfanya ajirekebishe. Angalizo kwa uzi huu watakaoufuata na kuutekeleza kea asilimia 100 soku zote wanaweza kuja kuwa disappointed siku mmoja. Ndo huwa unasikia wengine wamejinyonga kwa kuachwa na mwanamke ambaye walimpenda sana wakati sababu ni wao walishindwa kuwafunga speed governor.
 
Mie kwakweli kuongea uongo siwezi,limtu halijapendeza alafu nilisifie kuwa limependeza np thank u.
Ni dekeze nkudekeze,nibembeleze nkubembeleze,unachopenda kufanyiwa na wewe ufanye bibi
 
Km mwanamke hajakupenda...hata umfamyie nn ..haitasaidia kitu...xo..wanaume tuamke...tupambane kutimiza ndoto zetu...mapenzi...yashaingiliwa haya.... ukiwekeza kwenye mapenz...jiandae kulia....bora tuwekeze kwenye... kutengeza kesho yetu iliyobora
 
Hii ni kweli. Wanawake wanataka kusikia maneno mazuri toka kea wanaume na huea kweli yanawasisimua. Hata hivyo ambalo sijawahi kuelewa ukiendekeza sana hii kitu mwanamke hukuona kama fala fulani.

Ukiona unamfanyia huo "uchawi wetu" then akakuona fala basi tambua haupendwi. Mwanamke anaekupenda kwa dhati ukimfanyia hayo ndio unamfanya akupende zaidi.
 
Ukiona unamfanyia huo "uchawi wetu" then akakuona fala basi tambua haupendwi. Mwanamke anaekupenda kwa dhati ukimfanyia hayo ndio unamfanya akupende zaidi.
Anaweza kuwa anakupenda na atafurahi mwanzoni. Kadri muda unavyoenda hiyo hali anaizoea na haoni unachomfanyia kiko special. Kwahiyo hapo ndo wakati mwingine dharau huwa zinaanza. Na ikitokea ukataka kumtema anaweza hata kulia. Unabaki unajiuliza sasa mbwemwe zote zilikuwa za nini?
 
Anaweza kuwa anakupenda na atafurahi mwanzoni. Kadri muda unavyoenda hiyo hali anaizoea na haoni unachomfanyia kiko special. Kwahiyo hapo ndo wakati mwingine dharau huwa zinaanza. Na ikitokea ukataka kumtema anaweza hata kulia. Unabaki unajiuliza sasa mbwemwe zote zilikuwa za nini?
Basi utambue kakuchoka, na kama kakuchoka basi hakukupenda, na kama alikupenda basi kuna mahali ulikosea ndio ukaharibu kila kitu.
 
Basi utambue kakuchoka, na kama kakuchoka basi hakukupenda, na kama alikupenda basi kuna mahali ulikosea ndio ukaharibu kila kitu.
Sawa kama na yeye atakuwa ni malaika kwamba mwanaume ndo anakosea ila yeye hakosei.
 
Basi utambue kakuchoka, na kama kakuchoka basi hakukupenda, na kama alikupenda basi kuna mahali ulikosea ndio ukaharibu kila kitu.
Umewahi kuwa na experience ya kudekezwa?
 
Sawa kama na yeye atakuwa ni malaika kwamba mwanaume ndo anakosea ila yeye hakosei.
Kama mapenzi hakuna lazima atahesabu kila kosa lako na kulichukulia kwa uzito. Yeye yake hayajali maana yako ndio anayatafuta.
 
Mara kupetiwa, mara nkuchekeshe, bado kitandani na hela nkupe doh... nani kawaambia wanaume hawataki kuchekeshwa
Acha ukuda kama askari wa kibiti....
Akipatikana anaejua hayo yote jua huna chako kwa huyo mwanamke
 
Unajua wanawake hawa viumbe wa ajabu sanaa ...
Kuna manzi nilikua naye kwenye mahusiano ya kawaidaa tuu nikawa nampa hela siku nyingine namletea zawadi kuna siku akikua hana hela ya mchezo kwenye vikundi vyao nikamsaidia na alipotoka kwenye kikundi simu ilipasuka kwaio akaniomba nimnunulie nyingine hapo


Kuna jamaa wangu yeye anaduka nikamwambia nataka simu nikampa hela nikamwambia atakuja kuchukua shemeji yako fulani . .

Jamaaa akaelewa somo demu akashukuru sanaa

Basi kama miezi mitatu hivi mahusiano yaaendelea out za kutosha zawadi za kutosha vitenge hivi kama zawadi nilimnunulia mpaka basi na hela zingine za matumizi ..
Kimbembe akija gheto yani hamna makeke yoyote na kiuno kigumu sanaa kama nati haina grisi. .
Nikawa namvumilia
Sikuwahi hata siku moja kushika simu yake siku hiyoo alikuja room kwangu alikua ametoka mishe zake akaomba aoge ILI aende kwao ..
Ikaja akili nikachukua simu yake kuingia whatsaap nikaona kuna njemba nyingine anachart naye ile nchemba inamsifia sana utundu wake kitandani hadi koni kanyonya na kiuno feni. ..aisee roho iliniuma sanaa


Aliporudi kutoka kuoga nakujua kama nilikua nimeshika simu yake mana ilikua haina passwords. .
Tangu siku Ile nikawa naishia story tuu na nikamwambia siku hizi biashara zangu hazipo vizuri kwaio nimefulia kama week mbili sijampa hela ...
Nikaanza kukata mawasiliano kidogo kidogo mpaka Leo

Hajui anabaki kuniuliza kuwa kwanini nilimuacha gahfla nikamwambia moyo tuu..


Hawa viumbe hata uwadekeze hamna kitu
We itakua unafanana na remi ongala kwa sura ndo maana hukupewa mashamsham
 
Nyie ni too much,wote mnaenda kazn ila hela ya matumiz na ya kusuka atoe mwanaume
Ndo kazi yenu wanaume acheni kulalamika mkumbuke tumetoka ktk mbavu zenu za kushoto......
 
Back
Top Bottom