Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

Mwanamke kudekezwa na kubebishwa

M
hapana
mbona kwenye mambo mengine huwa mnataka usawa?

mahusiano yafaa yawe fair , sio nikuchekshe ila tuchekeshane, siyo nikubembeleze ila tubembelezane.
kwa kweli relationship ni two way streak.
Mliambiwa mtupendde kwenye vitabu vya dini na sisi tuwaheshimu sasa siku hizi dunia imebinuka mnataka sisi tuwapende halafu nyie mtuheshimu ndo maana mnagongewa wife akikuta huko kuna mbebisho wa nguvu anahamia hukohuko. Mbona michepuko mna ibebisha ila wife mnataka fairness. Kiruuùuuuu
 
kwa kweli umeni quote vibaya na mimi sja sema yote uliyo yasema ndugu yangu.
 
Wapo wenye Pesa wanaojua mchezo lakini wengi wao kutokana na busy ya kutafuta maisha wanachoka na akili yao sana huwa kwenye mambo yao ya pesa muda wa mapenzi kwa matajiri wengi ni finyu coz yuko busy. Akiona mwanamke amamsumbua anampa Pesa au vitu vya thamani kushika penzi lake.
 
Ndiyo mkuu tengeneza ulaya yako kuanzia chumbani kwako it can be done tukiamua kuwa na familia zenye furaha. Si unaona wenzetu wazungu wanavyofurahia mahusiano na wakichokana wanaachana kiroho safi.
 
ikiwaraia namba moja mwenye moyo wa kizalendo ameshindwa kumbebisha mke wake sembuse mimi!
 
Aysee wanawake wengi macho kwenye pochi yaan ni full kuigiza mfano: Miss chaga
 
Pesa ndo inapewa kipaumbele..... mapenzi zero
Hili jambo la kuweka PESA mbele nalo linatutia aibu wanawake wa Kitanzania ingawa mime asiye na kitu nae havutii kabisa kila kitu apewe na mke ni bora kuwa single ujue moja.
 
Back
Top Bottom