Mambo mengine tuache kusema ni mapenzi ya Mungu kapanga wakati ni mambo yetu wenyewe

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Mwaka jana 2022 kwenda 2023 kulitokea tatizo la mita kuwa inasumbua ikanibidi kwenda Tanesco ili tatizo liondoke maana inaweza kuleta moto .ila nishangaa wamekuja kesho yake yani siku mbili sijapata msaada,Je nyumba ingewaka waka moto nayo ni kusema kama kichwa cha habari.

Mfano mwengine:Leo umejinyonga ni mungu kapanga au wewe umepanga.

Tuje kwenye mada
Watanzania wengi tunafanya vitu vya ajabu uku tukijionesha kosa alikuwa letu bali ni mapenzi ya mungu.
yapo mapenzi ya mungu ila kuna mengine ni mapenzi yetu wenyewe kwa uzembe,umakini,uwajibikaji na n.k

Tuje mahospitalini ndio kabisa huko hakuna kuoji.

Leo kwa wenzetu walioendelea Ukisikia ajali ni overspidi asilimia 90% na iliyobaki ni mambo mengine. ila huku kwetu gari zimekutana uso kwa uso,ulevi,ujuaji wa wakuto tii sheria,ufinyu wa barabara ila hayo yote tutasema kama kichwa cha habari.

Mambo yanayo tokea mengine si mipango ya mungu ila wenye imani kali mtakuja juu.
Yani nijilipue nimalize wote alafu mseme mapenzi ya mungu.

Hatuwezi kila siku watu wakatumia rasilimali zetu wakavuna alafu ukasema hii nchi mungu anailinda !. inasikitisha sana.

Ni lini tutaacha kusema kila jambo ni mapenzi ya mungu wakati tunafanya tukijua vinaweza kuwa sio mapenzi ya mungu.
 
Turudi kule kwa Mababu zetu tuanze tusema ni mambo ya mizimu na mibuyu tuanze na matambiko tunajichelewesha Waafrika bomoa Misikiti na Makanisa tupate mashamba.
 
Back
Top Bottom