Unajua katika maisha kuna watu wapo kufuata mkumbo tu akifika kwa mama ntilie eti unatafuta tu nguvu za kiume unaomba dona, dona la mtaani ni hatari kwa afya yako kwa taarifa yako.Mahindi yanatiwa dawa sasa nakuuliza how far are you sure that kama mahindi yalioshwa.Dona kula nyumbani kwako ambako una uhakika mahindi yameoshwa
Wanafanya hivyo kupitisha upepo ili unyevunyevu ukauke!!!Kuna uhusiano gani kati ya kupika na wanawake kuwa uchiuchi? Kwani mara nyingi wanapopika hawa watu huwa wazi tu!!!!!!
Kuna uhusiano gani kati ya kupika na wanawake kuwa uchiuchi? Kwani mara nyingi wanapopika hawa watu huwa wazi tu!!!!!!
Who is muzungu? Stop praising these pipo they are just normal eeish!!
Who is muzungu? Stop praising these pipo they are just normal eeish!!