Mwanamke jiko

Mwanamke jiko

Sasa huyo ni muafrika? Sidhani kama huyo ndio maisha yake atakua anafanya for fun! Kuna rfk angu alipika semolina last week akapata constipation

inawezekana ni muafrica ndio...mimi na wewe hatujui!!! labda aliyepost picha kama anajua atwambie ni muafrica au la!!
 
Duh! Hiyo picha tu si inaonesha ni mzungu mkuu. Unaeza ukawa muafrika afu una rangi ya kizungu?
 
sana tu mkuu unaweza..uafrika ni uenyeji/asili ya bara la afrika lakini uzungu ni rangi ya ngozi...unless unataka kuniambia watu weupe wa South Africa sio waafrika
 
Sasa huyo ni muafrika? Sidhani kama huyo ndio maisha yake atakua anafanya for fun! Kuna rfk angu alipika semolina last week akapata constipation

Yes she is doing it for fun! Ndio maana nimesema Mzungu na ugali wapi na wapi
 
new vocabulary..mabuda ndo nini?
Mabuda ni kama mapande pande ya unga ambayo yanakuwa magumu kuondoka na kuchanganyika ukikosea kusonga ugali hasa kipindi unapoweka unga!wanaita pia mapachu lol
 
sounds like mabuja to me..but then languages do grow!!!
 
Back
Top Bottom