Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,628
- 15,743
Unaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali, ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje inakuona hivi
1. Wewe ni mwanaume katili huwa unamnyanyasa, na kumpiga kila siku.
2. Mchoyo wa chakula, unamnyima chakula, akipika chakula unakula chote pekeyako.
3. Hujawahi kumnunulia nguo yeye na mtoto, ndio maana anavaa nguo moja iliyochoka😁....na hayo ni machache tu ambayo mwanamke anaweza kukuongelea kwenye jamii bila ya wewe kufahamu...