Mwanamke jifunze uvumilivu

Mwanamke jifunze uvumilivu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] wifi yako anandhalilisha bwanaa...!!
ana kiserengeti halafu anakizevezaa..?!!!

kaaahhh!!
Nadhani amesikia vibaya manake alikua anajipa uhakika mumewe hawezi kua na mwanamke mwengine sasa hiyo ya mtoto
ndio imempa shock of her life....lol...
 
Anasusa jitu la 43 hivi kweli jamani!

Sasa anamrusha roho nani labda...!!...
Kudeka ndo watoto wakae siku nne hawajenda shule kisa dereva mgonjwa?!!

Uamke saa mbili asubuhi mmeo kamuandaa nani?!!
Nguo kamnnyoshea nani?!

Kashaachwa mwanzo haya watoto wa5a anasusa nn!!??

Amekua mwali wa ndani kigori ndo ndoa ya Kwanzaa...?!!

Mpuuzo Huyo Dada...!!
anajiamini my wiii.............
 
Habari wana MMU,

Kuna jambo linanitatiza,Jana amekuja wifi yangu mke wa Kaka na kilio nikajua amefiwa
kumuliza haya kumezidi nini? anasema anataka kuachwa amesha choka na kuona msg
kwenye cm ya mumewe za mapenzi na hivi karibuni aliona msg na picha za mtoto
kwenye cm ya mumewe akafatilia mpaka akajua kama mumewe ana mtoto mwengine
sasa ame hama nyumba na anataka Talaka yake,hapo alipo yeye ni mkubwa kuliko
bro,ameolewa mwanzo ana watoto wa2 na akazaa wa3 na bro, nilicho mwambia

Astahmili alee watoto wake,hakuna ndoa yenye raha moja kwa moja leo tamu kesho chungu
na istoshe watoto wake anasomeshewa,maisha sio mabaya anayo ishi tatizo la mumewe ajitahidi
kumuomba mwenyezi mungu atatulia,anasema moyo wake hauchukui tena anataka talaka yake
na watoto wake wawili kawachukua lakini mmoja karudi anasema anataka kuishi na ndugu zake
nimemwambia wifi anipe mda bro amesafiri akirejea ntaongea nae lakini ameshikilia Talaka
Bro amesema Talaka sio Tatizo atampa aseme jengine, lakini waungwana mie staki waachane
sababu watoto watapata tabu,mama wa wifi nae nimeongea nae kanichamba utadhani mie ndio
nilomuoa mwanawe sasa hapa nimebakia njia ya panda hata lakumwambia akanielewa sinaaaa.

Naomba mnisaidie mawazo ili hawa watoto waishi na wazazi wao kwa salama na amani..
waache wamalizane wenyewe.
 
Anasusa jitu la 43 hivi kweli jamani!

Sasa anamrusha roho nani labda...!!...
Siri ya mtungi shogangu .... Mi na wewe hatujui labda anamvunjiaga chaga! watu kama hao hawaachikagi kirahisi mwanaume atamfata tu mwenyeweee
 
Anamfata mara nyingi sanaaaaa tuu,hata last month hakupeleka watoto shule mume alipomwambia kwanini hukupeleka watoto kanuna kaenda kwao,week nzima bro later kamfata,amezowea lakini ndio tumchukulie tena..
Bila shaka Bro wako ana matatizo yake na wifi yako ana matatizo yake Soln Tuwaache wayatibu matatizo yao mimi na wewe tupate funzo la kuzitibu ndoa zetu kwa kupitia wao
 
Anasusa jitu la 43 hivi kweli jamani!

Sasa anamrusha roho nani labda...!!...
Kudeka ndo watoto wakae siku nne hawajenda shule kisa dereva mgonjwa?!!

Uamke saa mbili asubuhi mmeo kamuandaa nani?!!
Nguo kamnnyoshea nani?!

Kashaachwa mwanzo haya watoto wa5a anasusa nn!!??

Amekua mwali wa ndani kigori ndo ndoa ya Kwanzaa...?!!

Mpuuzo Huyo Dada...!!
Hii ni one side of story , hatujui upande mwingine ukoje! Wenza dhaifu hupelekea kuzaliwa kwa ndoa dhaifu,umri wa mtu si kipimo cha ukubwa alio nao& some times one is better than Two though katika maisha wawili ni wawili.
 
Weii kmb ndo hvyo yupo na yy wifi kiruuu mwambie atulize kipoch nanyonya chake.. Tn umwambie waz yy anaweza akawa sababu ya mme kutoka nje amejichunguza vyema au anaomba talaka km kaonewa?
Mwanamke fanya majukumu yk ht km mme mzinz vip isiwe sababu ya ww kuacha kuplay duty zk as a wife ili ukija kumuulza kakosa nn akose pakujidefend
Na huyo bro nae akome lol alijua mtu mzima dawa lakini mtu mzima huyu kawa SUMU lol...
 
Jenga ndoa yako,achana na ya wifi yako! Kumbuka kwenye msiba kila mtu hulia kwa kushika kichwa chake na si cha mwenzie
Shosti Watoto wa Kaka yangu ndio my main concern,kama angekua hana watoto na yeye nisingeingilia but nikiwa kama mama nisingependa kuona watoto wanalelewa na mzazi mmoja na tatizo ni dogo sana ambalo uwezekano wa kutatua upo..
 
Heheh mbona povu as if ndo mlengwa wa ushauri lol
Ishu ni kwamba talaka has consequences, angekua mtu ana biashara ama kazi sawaa ila wa kulala kuamka hajui kutafta hela kwa umri huo alonao ni zaidi ya mzigo
Muacheni achukue talaka yake! Hamjui yanayomsibu humo ndani, kwani hizo consequences za talaka ni zipi more than separation na kila mtu kuwa huru na maisha yake !! Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili mwacheni aende kaipime akili yake, mnataka amng'ang'anie Huyo mwanaume kama vile hatokufa au akifa watakufa wote!!
 
mKuu sisemi ni rahisi lakini astahmili kwa ajili ya wanawe sasa angalia 2kids na mume wa kwanza ,3kids na mume wa pili
what is next? na kwenye ndoa hakuna raha tupu na tafran pia ipooo,mie mkuu nimeletewa mtoto wa miezi mi 2 siku narudi
Honeymoon niliona kama naonewa,lakini nimestahmili na maisha yanakwenda...
Umeona mbali sana dada yangu. Kuna wakati inabid uumie ili watoto wafurahie maisha.
Tatizo ninachomhurumia ni wale watoto 2 ambao siyo wa bro wako. Na ukiangalia wanaume wengi wana hii tabia ya michepuko sana, kwa hiyo anaweza kwenda kwingine akute yale yale.
Km mumewe anamtizimia mahitaji yote akae tu kwa manufaa ya watoto. Ukute hapo hana hata kazi, akitoka hapo anaenda kurundikana nyumbani. Duh!

Km ana kazi aondoke tu ila km hana kazi avumilie tu. Watoto wake wa nje ya ndoa wapate elimu, na wapate kazi ndo aondoke.
Najua wengi watakupinga ila upo sahihi 100% naungana na ww. Km aliweza kuzalishwa watoto 2 anashindwa kuvumilia haya? Km angekuwa hapendi ujinga asingeweza kuzaa watoto 2
 
Huyo wifi ni kiazi ana gar kashndwa nn kupeleka watt school et driver anaumwa chaa! Kwahyo dd wa kaz akiumwa yy hapikii wanawe uyo... Anahitaji kufundwa bd hajatambua nafas yake
Usiwaamini sana mawifi, mtoa post ni wifi and always she will defend her Brother Always
 
Hapiki shosti kwanza hajui dada ndio anapika na mashallah hodari sana,nilicheka nilipo muliza why hujawapeleka watoto shule kanijibu kwani wako Chuo kikuu kama wakikosa shule week wata fail,nikamwambia bro hapa inabidi ujikaze hii number kwenye masomo siyo simamia wanao..lol
Eti wewe umekuja kumsimanga wifi yako sasa!! Hebu get back to the mada na achana na haya! Umeolewa ukisimulia ya wenzio na yako yasimuliwa pia
 
Shosti Watoto wa Kaka yangu ndio my main concern,kama angekua hana watoto na yeye nisingeingilia but nikiwa kama mama nisingependa kuona watoto wanalelewa na mzazi mmoja na tatizo ni dogo sana ambalo uwezekano wa kutatua upo..
Sasa kama hataki?? Basi olewa wewe uwalee, naamini hakuna binaadamu mbaya moja kwa moja unachokifanya humu ni kumshambulia wifi yako sasa mwanzo ulianza vzr lakini huko unakokuzisha kwa Mara Hajasoma, hapiki n.k ni kusadifu tabia za Dada wa waume zetu "Wifi"
 
Sasa kama hataki?? Basi olewa wewe uwalee, naamini hakuna binaadamu mbaya moja kwa moja unachokifanya humu ni kumshambulia wifi yako sasa mwanzo ulianza vzr lakini huko unakokuzisha kwa Mara Hajasoma, hapiki n.k ni kusadifu tabia za Dada wa waume zetu "Wifi"
Shosti naona unapitiliza wewe unaweza kuolewa na kaka yako? sijamshambulia na kama ningekua nimefurahia haya wala nisingekuja kuomba ushauri,anao wifi tele lakini kawapita wote kaja kwangu sababu ananijua nilivyo na kiasi gani napenda watoto walelewe na wazee wao,na kusema hajasoma angalia mazungumzo yalianzaje tafadhali fikiria kwanza kabla hujajibu
else usijikere bila sababu...
 
Back
Top Bottom