Mwanamke jifunze uvumilivu

Mwanamke jifunze uvumilivu

My dear....

Kwa kuwa ni masikini (ndio pocha nilopata) ndio avumilie yote?

Kumbuka hayo ndio alosema hakuna ajuae amwvumilia ya kiasi gani

Pia simu ni private kuliko sehemu za sirini eeeh...??? Kutopitia simu ya mume haina maana matatizo hakuna bali ni kuficha kichwa mchangani wakati kiwiliwili kipo nje. Inawezekana wifi mtu anajua tabia za mumewe ndio maana alifukunyua simu......au kuna vitu alivihisi

Wakati mwingine alarm inapiga inabidi kumchubguza.

Hata kama kaka yako kakataa mtoto...... inawezekana kakataa sio wake au kakataa kama kawaida ya wanaume kukana watoto ila mwisho wa siku ina maana aligawa utamu wa mkewe nje

Mwisho wa siku wifi yako atajipanga.....wanasema (ga) tembo hashindwi kubeba mkonga wake....

Ila akubaliane na mumewe way foward kuhusu watoto wao..... maana yeye ndie anayejua viatu alivyovyaa vinambanaaje
I can totally understand your point of view lakini still ntajitahidi kumsihi naamini watoto ni kulele na wazazi wote wawili
na hakuna ndoa isyo na misuko suko,she is a sister to me na nisingependa kumuona anaishi mbali na watoto wake,mume its fine lakini wanawe ndio most important to me..
 
Nikwambie kitu Nimpendenani. Wewe unayosema ni sahihi na ndio jambo analopaswa kufanya wifi yako. Ila tayari wifiyo kajazwa ujinga. Kinachomsukuma ni mawazo kuwa urithi wa wanae unapungua kwa kaka yako kuwa na watoto wengine. Anasahau kuwa kaka yako anamlelea watoto wa dume jingine bila kinyongo. Wapambe washamjaza ujinga kwamba talaka itampa haki ya kugawana mali nusu kwa nusu. Na kwa uchumi wa kaka lazima hesabu itakuwa inashawishi ndio maana na mama mkwe kakuchamba aking'ang'ania talaka. Shemeji yangu nae anamsumbua bro kwa ujinga wa namna hiyo. Unaanzaje kuchunguza simu ya mumeo. Anachokitafuta amekipata halafu anachachawa!!
Inawezekana kua kweli maneno yako lakini yule mwanamke she is not that smart wakujua bro ana vitega uchumi vingapi
as yani hata mumewe akimwambia twende nimenunua kiwanja sehemu ukaone kuna leo na kesho niamini haendi,amenunuliwa Viwanja viwili kigamboni mume anamwambia twende ukavione kamwambia huko mbali nataka Masaki
unanipa mwituni ivi unanionaje lol nilicheka mpaka basi, ndio mana namuonea huruma as she is not smart lakini anajitia kundini haya atapewa lakini angesubiri akapata vyakumsaidia..
 
Akifa na maradhi atalea watoto? Kama MTU amezaa nje ina maana hata kondom hatumii, hili liwe linakumbukwa
Correction lv,kufa ni fardh kila nafsi itaonja mauti na sio sawa kum judge mtu bila kusikiliza kutoka kwake not bcoz he is my brother hata wifi yangu nimemsikiliza na kama utaniamini nia yangu kwa wifi yangu ni safi all i want is her to be happy with her family not otherwise,ila kama ameamua kusema basi siwezi kumzuwia lakini angalau nimejaribu..
 
Muache afanye vile anavyoona moyo wake utapata amani...

Maisha yenyewe mafupi sana kuishi under stress za kiumbe Mwenzako.
Inshallah...........
Ndo wanaume walivyo asipokwambia simjui atakwambia wrong number ni bora vitu vingine uvipitie mbali Kama ambavyo hauwezi kuigusa mboni ya jicho lako Mimi mume wangu hata aisahau simu yake looh wala sishuhuliki nayo kabisa atakapoiwacha ndipo atakapoikuta Kisa ukajiharibia Siku hawa viumbe sio watu wa kuwaamini kabisa yaan
hahahahaha
 
Hebu ilinganie Kwanza hiyo ndoa isivunjike kaka ako akirudi jaribuni kuwashirikisha watu wazima ili muafaka upatikane na hiyo ndoa iendelee m shauri wifio hakuna ndoa rahisi ktk hii dunia mwambie akae alee wanawe aache kupekua simu ya mumewe ukitaka ufe haraka na pressure pekua simu ya mumeo kam hutaambiwa simjui utaambiwa wrong number so mwambie atulie na umshauri atafute biashara afanye
Biashara hataki she is a Queen,Inshallah ntajitahidi kumwambia lakini nae akileta kichwa ngumu watajijua wenyewe
manake mie ndio nnae mshikilia abaki mamake na mwenyewe hana nia...
 
Mmmh shoga hamna anaechezea ukiwaona wanandoa kwa nje utasema umechelewa wapi kupat ndoa ukiingia ndugu yaache tu ndugu yangu maan mengine utaweza kuyasimulia mengine hayasimuliki unabaki nayo ndani ya moyo wako yanazidi kukutafuna tu kila uchwao ndoa za karne hii zaidi ya chuo kikuu
Yani mtu kuna siku una face tafran mpaka unasema why nimekubali kuolewa lakini unasema ndio kuolewa...
 
Inawezekana kua kweli maneno yako lakini yule mwanamke she is not that smart wakujua bro ana vitega uchumi vingapi
as yani hata mumewe akimwambia twende nimenunua kiwanja sehemu ukaone kuna leo na kesho niamini haendi,amenunuliwa Viwanja viwili kigamboni mume anamwambia twende ukavione kamwambia huko mbali nataka Masaki
unanipa mwituni ivi unanionaje lol nilicheka mpaka basi, ndio mana namuonea huruma as she is not smart lakini anajitia kundini haya atapewa lakini angesubiri akapata vyakumsaidia..
Kama ndio hivyo, poleni. Mungu amsimamie kaka yako, it needs two to tango. Busara za upande mmoja hazitatosha kutatua tatizo. Tumwombee wifi busara ili watatue mgogoro!!
 
Kama kuna kaukweli hapo dear, ila wanawake malimbukeni ndio huwa wanafanya hivyo!!!!!!!!!
Ukiwa kwenye mahusiano unahitaji kuwa makini na washauri. Tofauti na hapo unaweza kujikuta nje ya ndoa yako.
 
Kama ndio hivyo, poleni. Mungu amsimamie kaka yako, it needs two to tango. Busara za upande mmoja hazitatosha kutatua tatizo. Tumwombee wifi busara ili watatue mgogoro!!
Ameen.........
 
Nachokiona hapa wifi yako anachezea maisha,mtu hujishughulishi af unaleta nyodo..siku ur bro akimuacha akaleta mwanamke mwingine ndo atatia akili...
Mwambie ajikaze ndoa sio mstari uloonyooka mda wote,mana kuna watu hizo hela hawana na mapenzi hawana,ili mradi ana kimoja mapenzi unaweza tengeneza namna ya kuishi na mumeo ukizingatia huduma zote nyumbani anatoa
 
mKuu sisemi ni rahisi lakini astahmili kwa ajili ya wanawe sasa angalia 2kids na mume wa kwanza ,3kids na mume wa pili
what is next? na kwenye ndoa hakuna raha tupu na tafran pia ipooo,mie mkuu nimeletewa mtoto wa miezi mi 2 siku narudi
Honeymoon niliona kama naonewa,lakini nimestahmili na maisha yanakwenda...

poleni ndoa hizi zina changamoto
 
Uvumulivu huo unaotaka awe nao wifi yako ni wa aina gani?
Wifiyo kasema kachoka kuona message za wanawake katika simu ya mumewe,na kama haitoshi kaka yako kazaa nje kabisa.

Nimeshtuka kaka yako alipokubali kutoa talaka kirahisi.
Ni wazi amemchoka wifi yako ndio maana kashindwa hata kumficha mtoto wake wa nje.
Lengo lake lilikuwa hilo (mkewe aombe talaka) na limeshafanikiwa.
Wifi yako akiendelea kung'ang'ania hiyo ndoa atateseka sana.

Hivi kusomeshewa watoto ni nini?Ndoa maana yake ni makhaba yaliyokomaa yaliyopelekea ndoa.
Kama makhaba hakuna tena ndoa ya nini?
Jamani wanawake tuachane na hii kasumba ya kunga'ang'ania mateso kwa kigezo cha "kulea watoto, watoto watateseka"
Kama hakuna mapenzi tena katika ndoa hakuna cha zaidi ya kuachana.

Ni kweli, lazima apate tabu ya kuishi bila mume na watoto bila ya baba lakini amani ya moyo ni zaidi ya yote,mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Period
i wish niweze ku like hadi mara 100
 
Tatizo hana mshauri mzuri,Mama yake ana mwambia ondoka atakuja kukupigia magoti mwenyewe kwani mwanamme yeye peke yake njooo nyumbani kwetu wakati nyumba wanayokaa ni ya Bro simuelewi huyu mama hata kidogo..
ana miaka mingapi huyo Dada?
 
wifi yako mshirikina...

sorry to tell u this...ana nguvu za giza zinazomlinda...!
let him divorce her...
mpk hapo she isn't wife material either..!
Mkuu sio salama lakini watu kugombana ni kawaida na wifi yangu hua akikasirika kidogo tuu niache,kuna siku driver wakupeleka watoto shule alikua anaumwa,sasa bro alikua safarini yeye yupo nyumbani hakupeleka watoto school siku4
mpaka driver amepona alipoja bro anamwambia kwanini usiwapeleke watoto shule? kasema nilikua na usingizi bro akamgombeza basi kafungasha nguo zake anamwambia talaka yangu nilete kwetu,sasa simuelewi mie huyu mwanamke
lakini inabidi tumchukulie nikamwambia bro nenda kamrudishe kwa ajili ya watoto...
 
Uvumulivu huo unaotaka awe nao wifi yako ni wa aina gani?
Wifiyo kasema kachoka kuona message za wanawake katika simu ya mumewe,na kama haitoshi kaka yako kazaa nje kabisa.

Nimeshtuka kaka yako alipokubali kutoa talaka kirahisi.
Ni wazi amemchoka wifi yako ndio maana kashindwa hata kumficha mtoto wake wa nje.
Lengo lake lilikuwa hilo (mkewe aombe talaka) na limeshafanikiwa.
Wifi yako akiendelea kung'ang'ania hiyo ndoa atateseka sana.

Hivi kusomeshewa watoto ni nini?Ndoa maana yake ni makhaba yaliyokomaa yaliyopelekea ndoa.
Kama makhaba hakuna tena ndoa ya nini?
Jamani wanawake tuachane na hii kasumba ya kunga'ang'ania mateso kwa kigezo cha "kulea watoto, watoto watateseka"
Kama hakuna mapenzi tena katika ndoa hakuna cha zaidi ya kuachana.

Ni kweli, lazima apate tabu ya kuishi bila mume na watoto bila ya baba lakini amani ya moyo ni zaidi ya yote,mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Period
Haya tutafanya hivyo
 
my switiieee...!!ndoa ni ngumu mama...!!

ndoa ni ngumu mamaa...!

nimemsoma nimegundua mke ni shida pia!

Back
Top Bottom