Umeona mbali sana dada yangu. Kuna wakati inabid uumie ili watoto wafurahie maisha.
Tatizo ninachomhurumia ni wale watoto 2 ambao siyo wa bro wako. Na ukiangalia wanaume wengi wana hii tabia ya michepuko sana, kwa hiyo anaweza kwenda kwingine akute yale yale.
Km mumewe anamtizimia mahitaji yote akae tu kwa manufaa ya watoto. Ukute hapo hana hata kazi, akitoka hapo anaenda kurundikana nyumbani. Duh!
Km ana kazi aondoke tu ila km hana kazi avumilie tu. Watoto wake wa nje ya ndoa wapate elimu, na wapate kazi ndo aondoke.
Najua wengi watakupinga ila upo sahihi 100% naungana na ww. Km aliweza kuzalishwa watoto 2 anashindwa kuvumilia haya? Km angekuwa hapendi ujinga asingeweza kuzaa watoto 2