Mwanamke jifunze uvumilivu

Mwanamke jifunze uvumilivu

Atiiiiiii? shosti mbona unanitisha?
sure...asingekua jeuri hvyo na 5kids..amepitia mangapi?!!
kisa kumfumania ndo amuache...yy 4days hakupeleka shule watoto,mvivu mbona haachwi tena ukute kaka ako mvumilivu mengine hasemi
wanawake wengi wapenda shughuli washirikina shirikina!
 
Unajua baadhi ya wanawake wasio soma ndio tabu yake,na huyu bro kiyasi ya mkute tulimwambia oa mwanamke ambae mnaanza sasa wote maisha hakusikia kamtaka huyu sasaivi anabakia kusema najuta,lakini what i dont understand mbona
hataki hata maendeleo yake? manake mfano mwambie angalia biashara gani utaweza kufanya ili nikupe mtaji ufanye anakwambia staki tabu kuamka na kupigizana kelele na wa twana,au mumewe anamwambia twende madukani ukaone nna vyo fanya biashara ndio ataamka anaumwa,sasa simuelewi nini anataka,ah atajijua mwenyewe..
 
amuache..kiroho safi!!

age difference hiyo huyo mama anampelekesha sana dogo!

M/Mungu anisamehe km na mm nachochea talaka..Ila km umri huo hajui maana ya ndoa let her go!!!
Age yake haitumii vizuri...lol
 
my switiieee...!!ndoa ni ngumu mama...!!

ndoa ni ngumu mamaa...!

nimemsoma nimegundua mke ni shida pia!
Ni kweli ndoa ni ngumu lakini tusikuabali ndoa zetu zitikiswe kiboya boya kishamba shamba kiasi hiki, mwanaume ni lazima apewe funzo litakalomfanya asiendeleze upuuz wake kwa wengine
 
wifi yako mshirikina...

sorry to tell u this...ana nguvu za giza zinazomlinda...!
let him divorce her...
mpk hapo she isn't wife material either..!
Acha imani haba hizo wewe, nilichokiona kwa huyo mwanamke ni tabia yake ya kususa Susa na kupenda kubembelezwa! Na mume mwenyewe kampata mbona, anafungasha na kuondoka then mume anamfata!! Kha...
 
Correction lv,kufa ni fardh kila nafsi itaonja mauti na sio sawa kum judge mtu bila kusikiliza kutoka kwake not bcoz he is my brother hata wifi yangu nimemsikiliza na kama utaniamini nia yangu kwa wifi yangu ni safi all i want is her to be happy with her family not otherwise,ila kama ameamua kusema basi siwezi kumzuwia lakini angalau nimejaribu..
Jenga ndoa yako,achana na ya wifi yako! Kumbuka kwenye msiba kila mtu hulia kwa kushika kichwa chake na si cha mwenzie
 
Acha imani haba hizo wewe, nilichokiona kwa huyo mwanamke ni tabia yake ya kususa Susa na kupenda kubembelezwa! Na mume mwenyewe kampata mbona, anafungasha na kuondoka then mume anamfata!! Kha...
Anasusa jitu la 43 hivi kweli jamani!

Sasa anamrusha roho nani labda...!!...
 
Hajakwambia anatafuta wa kumlelea,acha wenge
Heheh mbona povu as if ndo mlengwa wa ushauri lol
Ishu ni kwamba talaka has consequences, angekua mtu ana biashara ama kazi sawaa ila wa kulala kuamka hajui kutafta hela kwa umri huo alonao ni zaidi ya mzigo
 
Acha imani haba hizo wewe, nilichokiona kwa huyo mwanamke ni tabia yake ya kususa Susa na kupenda kubembelezwa! Na mume mwenyewe kampata mbona, anafungasha na kuondoka then mume anamfata!! Kha...
Anasusa jitu la 43 hivi kweli jamani!

Sasa anamrusha roho nani labda...!!...
Kudeka ndo watoto wakae siku nne hawajenda shule kisa dereva mgonjwa?!!

Uamke saa mbili asubuhi mmeo kamuandaa nani?!!
Nguo kamnnyoshea nani?!

Kashaachwa mwanzo haya watoto wa5a anasusa nn!!??

Amekua mwali wa ndani kigori ndo ndoa ya Kwanzaa...?!!

Mpuuzo Huyo Dada...!!
 
bora angekua kasomaa...
ingesaidia kidogo..!!

haya ht biashara hajui yy anajua kusasambua tu na kutunza kwenye Hakika..na harusini...!!

Huyo kaka yenu mtamkosa buree...!

Wanawake na sisi tuna yetu ndo maana anachepuka kumbe....!!!
Anajja kutumia kutafuta hawezii!!
Halafu huyo Dada atakuwa mtu wa mwambao huyooi!!mwinyii
Unajua baadhi ya wanawake wasio soma ndio tabu yake,na huyu bro kiyasi ya mkute tulimwambia oa mwanamke ambae mnaanza sasa wote maisha hakusikia kamtaka huyu sasaivi anabakia kusema najuta,lakini what i dont understand mbona
hataki hata maendeleo yake? manake mfano mwambie angalia biashara gani utaweza kufanya ili nikupe mtaji ufanye anakwambia staki tabu kuamka na kupigizana kelele na wa twana,au mumewe anamwambia twende madukani ukaone nna vyo fanya biashara ndio ataamka anaumwa,sasa simuelewi nini anataka,ah atajijua mwenyewe..
 
Nifah i can undestand your point of view lakini hiyo mateso anayoteswa yeye ni yepi? kwanza kilimtuma nini kufungua cm ya mumewe na kupekura? mume hakumwambia kama ana mtoto nje yeye ndio kaenda kuyatafuta na mamake mpaka wakayajua na pia sio sababau he is my bro ndio namtetea lakini na yeye pia wifi yangu ana mapungufu yake as a human
mfano Nifah Being mama mwenye nyumba au mke kweli mumeo anaamka na watoto kwenda kazini wewe umelala?
sio kama una umwa mzima,wewe zako ni Harusi sijui maulidi mara kwenye kufunda mwari upeleke sanduku mda na mume
hunaaaaa yote sawa ameyakubali tulia basi ulee wanao unataka Talaka sijui kama amefikiria sana ila kwangu sitopenda itoke hata kidogo...
Weii kmb ndo hvyo yupo na yy wifi kiruuu mwambie atulize kipoch nanyonya chake.. Tn umwambie waz yy anaweza akawa sababu ya mme kutoka nje amejichunguza vyema au anaomba talaka km kaonewa?
Mwanamke fanya majukumu yk ht km mme mzinz vip isiwe sababu ya ww kuacha kuplay duty zk as a wife ili ukija kumuulza kakosa nn akose pakujidefend
 
Mkuu sio salama lakini watu kugombana ni kawaida na wifi yangu hua akikasirika kidogo tuu niache,kuna siku driver wakupeleka watoto shule alikua anaumwa,sasa bro alikua safarini yeye yupo nyumbani hakupeleka watoto school siku4
mpaka driver amepona alipoja bro anamwambia kwanini usiwapeleke watoto shule? kasema nilikua na usingizi bro akamgombeza basi kafungasha nguo zake anamwambia talaka yangu nilete kwetu,sasa simuelewi mie huyu mwanamke
lakini inabidi tumchukulie nikamwambia bro nenda kamrudishe kwa ajili ya watoto...
Huyo wifi ana gar kashndwa nn kupeleka watt school et driver anaumwa chaa! Kwahyo dd wa kaz akiumwa yy hapikii wanawe uyo... Anahitaji kufundwa bd hajatambua nafas yake
 
Acha imani haba hizo wewe, nilichokiona kwa huyo mwanamke ni tabia yake ya kususa Susa na kupenda kubembelezwa! Na mume mwenyewe kampata mbona, anafungasha na kuondoka then mume anamfata!! Kha...
Anamfata mara nyingi sanaaaaa tuu,hata last month hakupeleka watoto shule mume alipomwambia kwanini hukupeleka watoto kanuna kaenda kwao,week nzima bro later kamfata,amezowea lakini ndio tumchukulie tena..
 
bora angekua kasomaa...
ingesaidia kidogo..!!

haya ht biashara hajui yy anajua kusasambua tu na kutunza kwenye Hakika..na harusini...!!

Huyo kaka yenu mtamkosa buree...!

Wanawake na sisi tuna yetu ndo maana anachepuka kumbe....!!!
Anajja kutumia kutafuta hawezii!!
Halafu huyo Dada atakuwa mtu wa mwambao huyooi!!mwinyii
LOL Niachie wifi yangu mie hahahaha..
 
Huyo wifi ni kiazi ana gar kashndwa nn kupeleka watt school et driver anaumwa chaa! Kwahyo dd wa kaz akiumwa yy hapikii wanawe uyo... Anahitaji kufundwa bd hajatambua nafas yake
Hapiki shosti kwanza hajui dada ndio anapika na mashallah hodari sana,nilicheka nilipo muliza why hujawapeleka watoto shule kanijibu kwani wako Chuo kikuu kama wakikosa shule week wata fail,nikamwambia bro hapa inabidi ujikaze hii number kwenye masomo siyo simamia wanao..lol
 
Back
Top Bottom