Mwanamke haridhiki

Mwanamke haridhiki

Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali

... JT2014 na MtiMawazo wameshakupa majibu stahiki,
Usiyapuuze hayo maishani mwako.

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anaumia kichwa juu ya mwanamke duh! Ukifuatisha hao wachuchumaa chini dunia utaiona chungu tu kwa vyovyote vile
 
Mi ntajuaje km anataka white/red rose? Au sanamu au ushenzy mwingine?

.....ndio ujifunze sasa, usipotaka kujua wenzio watakusaidia mpaka ujue.

By the way, ushawahi kusikia msemo elimu ya darasani hitimisho lake ni cheti, LAKINI elimu ya ndoa kwanza cheti kisha elimu?

Akili ni sawa na mwavuli, mpaka utapoifungua ndipo itapokufaa kujikinga na "jua/mvua" za Maisha.

#MosKwito !
 
nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali
ana pepo kali la tamaa pia inavo onekana anavidumu vingi sana angekua peke ake uko alipo angepata vingi zaidi ya wewe
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali
Usichoke baba ni mambo ya wanawawake sometimes inabidi kuwadekeza aidha ulimzoesha hivyo kwahiyo usipofanya anaona hujamtendea haki.but also u can tell her politely kwamba moyo wako na vitendo ulivyofanya nia zaidi ya kadi kwani kuumwa did just happen hakuna aliepanga yatokee
 
Kweli upele huwakuta wasio na kucha!kuna wengine tuna umwa licha ya kuishi mbali mbali ukimjulisha mpenzi wako hata kujali haonyeshi ndo kwanza anakuambia "ugua pole bwana"hapo hatakujulia hali tena mpk wewe mgonjwa ujieleze tena maendeleo yako.analalamika kitu kidogo ana acha kushukuru kwa mazuri makubwa!
 
Miafrica ndivyo tulivyo yani kula kuvaa ndio mapenzi maninaa weee.
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?
Ondoa wasi anataka uzidi kumjali, anakuonyesha mahaba na anahitaji mahaba zaidi kutoka kwako na kulakiwa
 
Hilo ni darasa zuri kwako,wanawake hawahitaji vitu vya gharama bali wanahitaji upendo.
Nadhani hilo ni fundisho kwamba mke unaweza kumpa hata karanga za sh.100 akakuona wa maana kuliko yule anayeleta matumizi ya nyumbani mengi lakini hana muda wa kutosha kuongea na mke wake.
  • Na ndio sababu kama hii muuza nyanya wa kitaa hapa kwetu amekuwa maarufu kwa wake za watu.
  • Unabaki kujiuliza yle mama kila kitu anacho sijui kakaosa nini kwa mumwe mpaka aende kwa muuza nyanya.
  • Hapa wanamume yabidi tujifunze na kubadilika.
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?

Anyway siwezi kucoment chochote maana kila mtu anaweza akawa mfanyakazi,otherwise ningesema huyo ni under 18 lakini kwa kuwa hata under 18 anaweza akaajiliwa hata kuwa house girl ama kuuza duka ndiyo maana sina comment
 
Huyo mwanamke mwambie aache kukuigizia maisha tangu lini kadi ya get well soon ikawa ya maana kuzid uliyomfanyia,huyo anatakutafutia sababu. huyo asikutanie kwani wote tunayajuwa vizuri maisha ya kitanzania hayo ya kadi awaachie wafilipino
:A S-confused1::A S-confused1:
 
Kweli upele huwakuta wasio na kucha!kuna wengine tuna umwa licha ya kuishi mbali mbali ukimjulisha mpenzi wako hata kujali haonyeshi ndo kwanza anakuambia "ugua pole bwana"hapo hatakujulia hali tena mpk wewe mgonjwa ujieleze tena maendeleo yako.analalamika kitu kidogo ana acha kushukuru kwa mazuri makubwa!

Ss cjui hiyo card ndo ingempeleka hosp wengine ht paracetamol hatupewi yy analeta uzungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom