Mwanamke haridhiki

Mwanamke haridhiki

  • Na ndio sababu kama hii muuza nyanya wa kitaa hapa kwetu amekuwa maarufu kwa wake za watu.
  • Unabaki kujiuliza yle mama kila kitu anacho sijui kakaosa nini kwa mumwe mpaka aende kwa muuza nyanya.
  • Hapa wanamume yabidi tujifunze na kubadilika.

na kama ni kweli kwa nini asiolewe na muuza karanga au mbeba mizigo?
 
Kadi ni kitu kidogo sana lakin kina maana kubwa ktk mahusiano na kamwe usijaribu kuzidharau hisia za mwanamke huyo na inategemeana pia yeye amekueleza akiwa kwenye mood gani? Lazima pia ujue kua love must be defended by romantic situation na ndio sababu wapaka rangi wanagegeda mizigo balaa kwani mwanamke anapenda kutaniwa , anapenda kuoneshwa anajaliwa na anapenda aoneshwe anaumuhim na umsababishie furaha ya mtima wake.
 
mkuu unatumia maji ya mende??nidai kreti
tatizo wanaume wanahisi expenses ndo matunzo kwa mwanamke,kuspend nae muda ndo matunzo kwake,hell nooo,labda kama mchimba dhahabu

TATIZO LAKO HUJUI VITU GANI UKIACHANA NA DAWA NA SIJUI KUMZUNGUSHA NA GARI NAAMANISHA VILE VYA ROMANTIC VINAVYOMPA RAHAHASWA AKIWA KWENYE MOOD KAMA YAKE
Asante mkuu kwa ofa,ila situmii maji ya mende nadhani yasijenitengua na mimi siku moja mke wangu asijenileta hapa janvini kwamba sishikiki!
 
Aliimba Marijani Rajab..........

"bwana Mashaka..acha kulalamika hovyo...kama amekushinda..mrudishe kwao..oo..tizama maisha yako sasa yalivyobadilika..mke anakupeleka puta..hata nguo za kuvaa huna..madeni hayasemeki bora umrudishe kwao...KAMA KWELI ANAKUPENDA AWACHE MAMBO YA TAMAA..." anaendelea...."mwishowe utakuja iba Mashaka.....unampa mia mbili..anataka mia nne...unampa mia nne..anataka mia nane...
 
na kama ni kweli kwa nini asiolewe na muuza karanga au mbeba mizigo?
Hapo ni tofauti,kuna status ya uwezo wa mtu kulinganisha na anachokimiliki nayo ni muhimu kwa mke,tunasema mme siyo suruali tu,lkn hapa kinachozungumzwa ni mahaba,
na ndo maana usipoangalia ukaendekeza kutafuta pesa tuu,mapenzi yote ukaamishia kwenye komputa na simu ili kuongeza michongo ya kipato,wauza nyanya wanakusaidia kumtuliza mwenzio kimahaba na anatumia fedha yako kuwaongezea mitaji ya nyanya.
Ni muhimu kubalance mambo,muda wa kutafuta pesa tutafute kwa nguvu zote,na muda wa kuwa na mke nao tuupe kipaumbele.
Hii si kwa wanaume tu,na kwa wanawake pia.watu wengi wamejikuta wanatembea na mabinti wa kazi coz mke majukumu yote anamkabidhi binti wa kazi,wakati ndani ya moyo wa mwanaume kuna mvuto unaojileta automatically kutokana na service unayopewa na mwanamke na hivyo moyo wako unatekwa.
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?
wewe mkubwa sasa,haya matangazo yanawafaa under 18.
 
acha ubahili kanunue kadi... kadi ni kadi na dawa ni dawa, vitu viili tafauti.
wanaume wa siku hizi vipi!
 
mkuu unatumia maji ya mende??nidai kreti
tatizo wanaume wanahisi expenses ndo matunzo kwa mwanamke,kuspend nae muda ndo matunzo kwake,hell nooo,labda kama mchimba dhahabu

TATIZO LAKO HUJUI VITU GANI UKIACHANA NA DAWA NA SIJUI KUMZUNGUSHA NA GARI NAAMANISHA VILE VYA ROMANTIC VINAVYOMPA RAHAHASWA AKIWA KWENYE MOOD KAMA YAKE
Acha mapenzi ya lamujere de vida wewe..? Mademu wengine mnadanganyana mno hapa jf..kama unashindwa kushukuru tu kwa mtu kukupa dawa, chakula na kuacha kazi zake kukuuguza bora uondoke.. Nashukuru kuna wasichana wanajitambua si kama nyinyi hapa jf na maisha yenu ya muvi
 
acha ubahili kanunue kadi... kadi ni kadi na dawa ni dawa, vitu viili tafauti.
wanaume wa siku hizi vipi!
Acha mapenzi ya lamujere de vida wewe..? Mademu wengine mnadanganyana mno hapa jf..kama unashindwa kushukuru tu kwa mtu kukupa dawa, chakula na kuacha kazi zake kukuuguza bora uondoke.. Nashukuru kuna wasichana wanajitambua si kama nyinyi hapa jf na maisha yenu ya muvi wasichana wa kibongo hamjui maisha..sisi tupo nchi za watu huku tunaon tofati .. Mwanamke mwenye akili anastic with his man na yupo appreciative on everything
 
Miafrica ndivyo tulivyo yani kula kuvaa ndio mapenzi maninaa weee.
Wewe hayo mapenzi mengine imeyaona wapi..sisi tupo hiku hatuoni mapenzi ya kishamba hayo ya kutoangalia mambo makubwa unaangalia mdogo..au unafikiri mapenzi ya tv ya kina jay z na beyonce...ndo watu wanaish street..mademu wa kibongo ni limbukeni
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon. Ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali?

mapenzi yanaumbwa na vitu vidogo mno halafu inabidi umwelewe mpenzi wako ni mtu wa kupenda vitu gani wengine hata ufanye nini kama hujamhug mbele za watu anakuona humpendi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom