Mwanamke haridhiki

Mwanamke haridhiki

Ndio ujue wanawake wanatofautiana.

Umetoa sababu nzuri sana mkuu! Ni bora akatafuta mwanamke atakayefanana nae kitabia, maana hata Mimi mapenzi ya card na midoli siwezi labda Naweza kufikiria kufanya hivyo ikiwa mpenzi wangu yupo mbali na siwezi kumfikia.
 
Yaani Leo umenifurahisha sana Ichana! Kuna wasichana wanafikiri mapenzi ni Kama wanavyotazama kwenye tamthilia, aggggrr

Kadi si utamaduni wetu ...watu tumeambatana na mapokeo ya sanyans na kuwa wajinga....mwanaume huwez kupelekeshwa hujamuoa had ameomba ruhusa kazin, mda wake alitumia kumtake care still malalamiko....amekosea njia kama kashindwa kushukuru kwa hilo dogo hat kuwa mke hafai.....
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali

Ungemuambia anago...ngwa na aache ungese...there are times Man has to do only that is nessesary and ignore the rest!

Hivi anajua si ajabu ulienda kukopa for her medical treatement and other supplies au alikupigia kwanza kabla hajaumwa akakuambia ujiandae yeye ataumwa muda si mrefu? She is the most stupid peace of human figure i have ever heard of!

Halafu limengojea limeondoka ndo linakuambia...why asikuambie kabla hajaondoka if its understanding and loving she needs?

To hell with ridiculous tamthilia zinazowaharibu!

Mwambie next time akiumwa hatumtibu only that tutamtumia card!
 
Kwanni uwe mtumwa???
Nashangaa sana wanaume wa sasa kitu cha kipuuzi kama hiki unamwambia unamwambia so ulitaka nikununulie kadi badala ya dawa?
Ukweli utakusaidia achana nae kuwa huru na maisha yako.

^^
Say Hellow to your Couple! Siku nyingi sijasikia kauli za mwanamke mwelewa kama hii
^^
 
Dah, mawasiliano hafifu. Km alihitaji chakula au kitu Fulani na ukampatia kwa wakati, ni kwanini hakuomba kadi? Ila kakukumbusha, akiumwa tena mnunulie + mdoli

mara zote kama mwanamke anahtaji zawad toka kwa mpenzi wake hasa ya romantic hawez kusema,hawez kumuambia mpnz wake amnunuli card,hawez kumwambia amnunulie white rose.u as a man u need to know!unafkir ukihonga gari ya gharama au nyumba ndo utapendwa sana na kumridhisha mkeo!just a little things make a girl crazy over u
 
Mi ntajuaje km anataka white/red rose? Au sanamu au ushenzy mwingine?
 
Inaelekea mmezoeshana kuandikiana kadi kwa kila tukio.
 
Kadi si utamaduni wetu ...watu tumeambatana na mapokeo ya sanyans na kuwa wajinga....mwanaume huwez kupelekeshwa hujamuoa had ameomba ruhusa kazin, mda wake alitumia kumtake care still malalamiko....amekosea njia kama kashindwa kushukuru kwa hilo dogo hat kuwa mke hafai.....

habari za asubuhi mpendwa?
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali

kanunue kadi mdogo wangu umsikie tena atadai nini!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali

Bado ana hang over ya dawa, nashauri nenda moro kisha mpeleke akapime B/S huenda hajapona vizuri!...ikiwezekana mfikishe hata mirembe dodoma
 
Mkuu usilalamike kazi ya kumhudumia mkeo/mchumba ni wajibu wako ndo maana hakulipa uzito,alihitaji kitu kidogo kuonyesha unampenda, shukuru tu kuwa tafsiri ya upendo kwake umeijua sasa yaani ni kumpa kadi,wengine hata umwekee bilioni moja mezani bila kuwa na muda wa kukaa naye anaona hajapendwa.....

Mwenzio alitaka arudi na kadi ya ...get well soon.. akawaonyeshe shoga zake kuwa ulim care sana na wewe hukulijua hilo,sasa atawaonyesha nini........
"....kaeni na wanawake kwa akili"

nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali
hivi mama ako ushawai kumjali hivyo....
 
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi morogoro mwezi march alikuja kunitembelea coz alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2.siku 3 tangu afike alishikwa na malaria Kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa.pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa.mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu SIKUWAHI KUMLETEA KADI YA GET WELL SOON.ebu nisaidieni kadi tu ndio mtu akujali

Anaweza akawa ni mropokaji tu, au anapenda kukuchokonoa chokonoa sababu anakupenda, anakuwa hana cha kusema lakini moyo unamtuma aseme kitu, mwishowe anaishia kuropoka! Hawa watu inabidi kuwasoma vizuri wakati mwingine unaweza ukamwelewa vibaya hadi ukampiga chini kumbe wala hana tatizo na wewe. Halafu hawa watu ukijifanya unataka kuishi kwa msimamo thabiti kabisa wa ki-uanaume, you will never stay with them!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom