Utakuja kutongoza majini
Nijuavyo siasa ndio uongo lkn mapenzi ni ukweli na uaminifu. Lkn inategemea perception yako ktk mapenzi, chochote chenye msingi wa ukweli kinadumu lkn msingi wa uongo ni dhaifu.Mkuu naona unachanganya mapenzi na siasa.
Nakupenda saana NeyWanaume banah
Huwa tunajitoa ufahamu tuu lakini sio kwamba huwa hatujui uongo na ukweli, palipo na ukweli uongo hujitenga, sema ukikutana na mwanaume muongo huwa ni raha sana maana unamchora at end unamtolea nje ndio wale hugeuka kuwa maadui kwasababu ya ujinga wao wa kuhalalisha uongo uwe ukweli, mtoa mada acha kupotosha wenzio utawakosesha mazuri.
Mkuu heading ya post ni kuhusu uongo,na nilichoongea hapo ni uongo[emoji3] [emoji3]
Au wewe ushaona smile tamu kama strawberry??
Karibu JF
Nakupenda pia bilNakupenda saana Ney
na ukubari kukataliwaKati ya vitu ambavyo siviwezi ni kusema uongo mimi naweka option zote on the table aamue mwenyewe
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]huhuhuhuuuuu!!Colietha upendo wangu kwako ni zaidi ya mateka ya ROMA kwa tongwe record.
[emoji40]Aishah2016
We ndiye kwenye avatar??
Njoo kwa pm tafadhar ney wang[emoji28]Nakupenda pia bil
Nipo pm bil wewe ndio sikuoni [emoji28][emoji28]Njoo kwa pm tafadhar ney wang[emoji28]
Na wewe banah, embu muache mwenzio mbona unamkatisha tamaa [emoji23][emoji23][emoji23]Ooohhh Akikubali je! Awa viumbe wenyew si unasikia wanapenda uongo,anakuja jini chura chura!!! lazima usahau jinsia yako
Ukihudumia wewe uongo unakuwa mwingi sana mpaka unajisahau, tofauti nikihudumia mimiSafi sana mkuu maana wanadhani tukiwadanganya hatugharamii kumbe kuudumia muhimu
Nitumie text kwa pm mpnz ney,yaan nko serious ujue[emoji172]Nipo pm bil wewe ndio sikuoni [emoji28][emoji28]