KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Daah tena vilaza squared.Very true
Tafiti zisizo na maendeleo
Tafiti za vilaza
Hadi umri wako huo umeshaFuCk wangapi?
Daah tena vilaza squared.Very true
Tafiti zisizo na maendeleo
Tafiti za vilaza
Hadi umri wako huo umeshaFuCk wangapi?
Sio mwanae tu,huyo huyo mkewe bikira siajabu reverse wameisha itoa,atakalia kuhoji bikira bikira,kumbe alienae tayari ana gold mine ya udongo mwekundu.Na siku mwanao akitolewa njoo hapa utupe mrejesho
Na mimi naomba unitumie Joanah mrembo,naomba unitumie na ziada please.Hahahhh
Poa
Basi kaone nilivyooga
Kidogo kidogo ina raha yake! Ni miaka sasa imepita kaolewa na anawatoto 2. Lakini akinipigia cm ambacho huwa hasahau ni ile kidogo kidogo ( husema kwa maskhara)Siku tatu nzima? basi una puncture ya dushe.
Ya nyuma au siyo?Duh! Town (mkoa gani) au kijijini?
Basi sawa,hapo nimekubali,yaani mdogo mdogo au vipi?Kidogo kidogo ina raha yake! Ni miaka sasa imepita kaolewa na anawatoto 2. Lakini akinipigia cm ambacho huwa hasahau ni ile kidogo kidogo ( husema kwa maskhara)
unajua bikra kwa mwanamke ndo talanta (tunu) aliopewa bure" wakati wa kuitoa humwachia kumbukumbu mbaya au nzuri, inategemea weledi wa mtoaji" ila amini usiami, kidogo kidogo inaraha saana kwa wote!!
Yeah...Basi sawa,hapo nimekubali,yaani mdogo mdogo au vipi?
Hujui Kiswahili? kujua ndiyo sexmkuu..!
kama unatumia neno KUJUA ukiwa unamaanisha SEX (in english)
niambie unaelewa nini kuhusu neno KUJUA
Wapi mkuu?shida ya mwanadamu akisha vurunda anatafuta haki kwa njia yakujihesabia haki kwa gharama yeyote.kwasababu si wanawake wote wanaozaliwa na hymen, na pia inaweza kutoka kwasababu mbalimbali swala la kukagua mwanamke kuwa ana bikra au la katika jamii mbali mbali duniani limeonekana ni unyanyasaji na nilakijinga

You are correctkwasababu si wanawake wote wanaozaliwa na hymen, na pia inaweza kutoka kwasababu mbalimbali swala la kukagua mwanamke kuwa ana bikra au la katika jamii mbali mbali duniani limeonekana ni unyanyasaji na nilakijinga
Mambo sio mepesi kama unavyofikiria mkuu..Hujui Kiswahili? kujua ndiyo sex
Daah umenena mkuu hawa watu hawako fair kabisa labda upate bahati tu na uwe mvumilivu au uwetayar kwa lolote mda wowoteKile unachokijua ndo kitamu, ni mpaka ujaribu kingine ndo uanze Ku compare" na ndo mwanamke bikra alivo. Anamjua bwana wake tu ndo mtamu mwingine ni mpaka ajaribu"
Hawa ( used) ni kuvumiliana tu ladha nyingi anazijua, akikucompare na x wake anakua anakuchora tu"
Na ipo siku atarudi kwa mmewe.ukioa mwanamke asie BIKIRA, mkuu.. hapo umeoa MKE WA MTU.
u said it all. ila sio ana kuchora bali anakuangalia tu bhana. kwani huwa anakuwa na pencil mkononi?Kile unachokijua ndo kitamu, ni mpaka ujaribu kingine ndo uanze Ku compare" na ndo mwanamke bikra alivo. Anamjua bwana wake tu ndo mtamu mwingine ni mpaka ajaribu"
Hawa ( used) ni kuvumiliana tu ladha nyingi anazijua, akikucompare na x wake anakua anakuchora tu"