Mwanamke bikra na asiye bikra

Mwanamke bikra na asiye bikra

Poleni kwa yaliyokukuta Odhiambo!
Sasa nikuambie tu!
Huyo alikufanyia hivyo ndio mme wako( au unaweza kumuita HERO wako), huyo ulienae sasa hivi anamtunzia tu huyo HERO.

note: mwanaume ataendelea kuwa mwanaume,
mwanamke ataendelea kuwa mwanamke...! nyie mpo sealed.
Huyu unaeongea naye ni mzee wa 58yrs nilichotaka kusisitiza ni kuwa uaminifu uwe kwa wote ili kuleta usawa

Bikra zingine hutoka kulingana na mazingira ya makuzi e.g. binti wa Usukumani anaanza kutumia baiskeli ktk age 9yrs kufuata maji na kusaga vyakula huyo ubikra atautoa wapi ?! Ukioa angalia uamifu wa mkeo basi
 
Ulianza lini utafiti mkuu na ulitumia muda gani na umemaliza lini na ujue watafiti hawajawai kukosa majibu
 
Huyu unaeongea naye ni mzee wa 58yrs nilichotaka kusisitiza ni kuwa uaminifu uwe kwa wote ili kuleta usawa

Bikra zingine hutoka kulingana na mazingira ya makuzi e.g. binti wa Usukumani anaanza kutumia baiskeli ktk age 9yrs kufuata maji na kusaga vyakula huyo ubikra atautoa wapi ?! Ukioa angalia uamifu wa mkeo basi
Ok, na wewe unachat na Mzee wa miaka 65.

Usawa Uliokuwa unauzungumzia Haupo na Hautokuwepo kamwe, hivyo ndivyo ilivyo tangu mwanzo.

Ila suala la Uaminifu hilo ni suala Jingine.. ambalo mimi na wewe tulikuwa hatulizungumzii, umelipachika tu sasa hv.
Ukizungumzia uaminifu hapo unazungumzia walio tayari kwenye mahusiano / ndoa.. ila kujitunza ulipokuwa unazungumzia wewe ni maisha kabla ya ndoa.. thats why ulitaka mwanaume nae ajitunze hadi kufikia ndoa.

Wafundishe zaidi wanao na wajukuu zako kutunza bikira zao hadi ndoa, mungu aliziweka kwa makusudi maalumu, sio ili zitolewe na mtu yeyote tu!
 
Mawazo yako ni mema lakini unapomuoa mwanamke usimkute na hiyo bikra usimlaumu wala kumzodoa huwezi elewa her history, Wengine hubakwa , Wengine mazingira magumu ya maisha

Ni kweli pia kuwa bikra ina thamani yake na sipingani na hiyo
 
Nyie wanaume mnaweza kujitunza mpaka kufikia kuoa ?! Au mkuki kwa mwanamke !!
Hakuna uthibitisho kwa mwanaume bali kwa mwanamke..Na Mungu aliona mbali ndio maana akamchagua mwanamke awe na alama yaani Bikra..Mwanamke ni kila kitu!
 
Mimi nadhani wanaume tunawaelewa wanawake kwa kiwango kidogo sana na itabaki kuwa hivyo,inawezekana linalosemekana kwamba mwanamke ukimtoa bikra sijui inakuwajewaje blaablaa nyingi inaweza kuwa ukweli lakini inawezekana ikawa ukweli pia kuwa huyohuyo uliyemtoa bikra akawa sio mwaminifu akakutana na kijana mwenye ujuzi na utamu wake wa kutosha akasahau kama uliwahi kuishi asee.Lakini inawezekana pia ukakutana na mwanamke ambaye hana bikra ila akawa mtulivu tu anajielewa na kila kitu kinatakiwa na kama utakuwa na uwezo na utamu wako wa kutosha akamsahau kabisa huyo aliyemtoa usichana wake,nnachokisema hapa ni kuwa sina imani kama haya wanaume tunayoyaamini ndivyo yanavyokuwaga.
Lakini tukichukua fursa kujiuliza kwamba kama sisi tunapenda wanawake wenye usichana wao na mbona tunakuwa wa kwanza kuwatoa haohao wasichana usichana wao na tukijua hatuna muda nao!?unapokuja kumkandia mwanamke wa aina hii unakuwa humtendei haki nadhani.
 
Nilichopendea huu uzi ni kuwa wanaume mmejua kudanganyana na kulishana matango pori

Nawatakia bikira njema aisee
Unasumbuliwa na mihemko ya kifalsafa yaani(HAKI SAWA)rudi ktk uhalisia wa Kibinadamu na ukubali kuwa Jiwe ni jiwe haliwezi kuwa mkate wenda mpaka aliyeliumba aamue liwe mkate,yafaa nini kujilisha upepo nakujihesabia haki?

Nakuuliza swali:
KATI YA MWANAMKE AU MWANAUME WAKIACHANA NI YUPI ANAYE ONEKANA MBAYA KTK JAMII ILIYOMZUNGUKA KWA HARAKA HARAKA?
 
bikra ndo kipimo cha kwanza cha uaminifu wa msichana kwa yule atakae muoa na ukioa mwanamke asie na bikra jua unalelea mke wa mtu tena unazini kama mm nisiye na mke tu
 
Mke ni mke tu mwanake awe bikira na asiye bikira wote sawa
Tazama familia unayo oa
Si Kweli..na Hautakiwi kukata tamaa kiasi hicho! Linda hadhi ya Mwanamke Rudisha HESHIMA YAKE TENA..
Bikira inawezekana na ni haki ya Mwanaume MUOAJI!!
 
Umepatia sana mkuu...
Kanywe soda kwa mangi leta bill

Unasumbuliwa na mihemko ya kifalsafa yaani(HAKI SAWA)rudi ktk uhalisia wa Kibinadamu na ukubali kuwa Jiwe ni jiwe haliwezi kuwa mkate wenda mpaka aliyeliumba aamue liwe mkate,yafaa nini kujilisha upepo nakujihesabia haki?

Mwanaume

Nakuuliza swali:
KATI YA MWANAMKE AU MWANAUME WAKIACHANA NI YUPI ANAYE ONEKANA MBAYA KTK JAMII ILIYOMZUNGUKA KWA HARAKA HARAKA?
 
Kwanza mwanaume unapaswa ujitathimin mwenyewe ni kitu rahisi kujijua kama upo vizuri au haupo vizuri hii pia inahusisha mashine yako.

Kama haupo vizuri saana usitake makuu na kudhalilishwa bure tafuta saizi yako.
Lkn kama upo vizuri mwanamke yeyote ni saizi yako na nihalali yako awe bikra au used yeye ndie atakae kutafu baada ya kulinganisha na aliko toka na aliko enda wapi kuzuri na isingekua hivyo tungekua tulisha acha kukumbushia siku nyiingi sana.
 
endelea kuwaza bikra tu wakati sisi tunawaza 1,2,7 T.2017 anyway nenda Zenji utazikuta sana za front front lakin za back back hamna hapo ndiyo utajua wanawake hawavuti bangi
 
Mungu atusaidie tupate wenzi waaminifu
Wenzi wapo wengi sana mkuu!lkn wenzi tunanawahitaji ktk mpango halali na sahihi..Leo hii wanawake wakigomea kutoa uke wao kiholela bikira zitatunzika na hapo hapo ndio chanzo cha kumpata mume mzuri ambaye naye ni FRESH..

Wanawake wakiamua kwa pamoja kwamba no sex
Wanaume Fresh nao watakuwepo.
 
Kati ya viumbe vyote ni binadamu tu ambaye humuona MUNGU alieweka "bikra/seal" kwa mwanamke kuwa hakujua anacho kifanya na alikuwa anapoteza muda wake tu.

Wewe ni nani umkosoe MUNGU katika kazi zake? Wewe ni nani?
 
Back
Top Bottom