Mwanamke bikra na asiye bikra

Mwanamke bikra na asiye bikra

nimeshakutana na mabkra kadhaa isipokuwa linapokuja suala la kuoa ukizingatia kigezo hiki cha ubikra unaweza kupoteza muda wako wengine hawafai hata kuoa,wapo wanawake waliolewa hawakuwa na hii kitu na wako smart sana /dhana ya kuwa mwanamme wa kwanza hasauliki kwa mwanamke bikra haifanyi kazi kwa wote akikutana na anajua kucheza na hisia zake vizuri wewe wa kwanza anakutupa kwenye dustbin.
Kati ya coment zoteeee kwangu hii ndo nimeona point ubarikiwe mkuu
 
Kile unachokijua ndo kitamu, ni mpaka ujaribu kingine ndo uanze Ku compare" na ndo mwanamke bikra alivo. Anamjua bwana wake tu ndo mtamu mwingine ni mpaka ajaribu"

Hawa ( used) ni kuvumiliana tu ladha nyingi anazijua, akikucompare na x wake anakua anakuchora tu"
 
mnazungumzia bikra ya mtandao upi, voda au tigo??? voda mpaka vijijini huko japo kwa nadra sana, tigo hata manzese unaweza pata
 
kama voda, kweli si rahisi kuipata na sijui anafanyaga kazi ya kubandua na kusepa
 
Hiv mtu anaposema Mwanamke Used Hawaeshimik anakua anamaanisha nin labda au siku hz wanawekewa label,na km unamaanisha ndan ya ndoa ili hal wewe watuaminisha umeoa alie bikra umejuaje ?au una wake wawil!na heshima hapa unamaanisha nin labda,kuamkiwa shikamoo,kusikilizwa kutosalitiwa au labda tuelewane hapa!
kama kuna heshima mwanamke yeyote anahitaj ndan ya ndoa ni mumewe kutochepuka kwa hiyo mnaosema mwawaheshimu wake zenu walio mabikra hamchepuki?98% ya waume walio katk ndoa wamewah chepuka ina mana tuamin wote hawa walio used!
mambo mengne msidanganyane kwan ni yakusadikika mabib zetu wenyew waliolewa mabikra na wapo waliozaa watoto haramu ndan ya ndoa!
Eti Anakua Hana Comparisom Mtoto Mchanga mwenyewe anaejua ziwa la mama tu huwez mpa juic akakubal,kuna vitu mwanadamu hafundishw kwa hyo ht km utaoa mwanamke bikra km humlidhishi atajua tu! na sio gurantee kua anakupenda ww tu na hatakuja kupenda anaweza kuja kupenda tena akatiwa vocal na akachepuka vile vile !kumbuka uoga na heshima ni vitu tofaut!
 
Mwanamke anatolewa Bikra Kila afanyapo tendo la Ndoa...Sasa inategemea wewe mtoaji umeweza kuitoa???

Msidanganyane..Jitahidi ukiwa unamfanya uhakikishe kweli umemtoa Bikra..Sawa sawa??!!

Nazani wakubwa mmenielewa saana!!
 
Huu uzi wadada wameukimbia! Comments zao zimeadimika kuliko pesa ya Magu.
 
Sasa apo Izo picha Za bikra ameziba. Akivunja ungo na angali bikra damu inatokea wapi?
 
Naomba niweke mawazo yakinifu, kila kazi inataka uzoefu. Kwa mantiki hiyo basi, huwezi kuoa mwanamke asiye na uzoefu, kimsingi unatakiwa uoe mwanamke aliye wahi kuolewa akaachika achilia mbali asiye na bikira. Vitu vingine tumia akili yako na siyo ya kuambiwa
Nakuunga mkono ndugu.. Mimi binafsi mwanamke bikira naona anazingua tu ; hana uzoefu, kelele nyingi, nikitaka kusukuma nanga mpaka kinani tabu tupuu.. Kwa ufupi Shughuli Yangu pevu na nahitaji nguli mtu.
....mkiingia vitani Shughuli inakuwa pevu... Wanawake bikira nawaachieni Nyie mpendavyo vya rahisi.
 
Si wanawake wote waliozaliwa na hymen, wanaume wengi na jamii zetu hawaelewi hicho kitu. wapo wanawake hawajaziliwa na hymen hivyo wanaonekana si Bikira,. swala la Bikira hata mwanaune unatakiwa uwe Bikira sio swala la mwanamke tu.
Nijuze juu ya HYMEN tafadhali
 
Nakuunga mkono ndugu.. Mimi binafsi mwanamke bikira naona anazingua tu ; hana uzoefu, kelele nyingi, nikitaka kusukuma nanga mpaka kinani tabu tupuu.. Kwa ufupi Shughuli Yangu pevu na nahitaji nguli mtu.
....mkiingia vitani Shughuli inakuwa pevu... Wanawake bikira nawaachieni Nyie mpendavyo vya rahisi.
Hatuongelei swala la Ujuzi ama utundu kitandani..hoja hapa ni Iko wapi heshima ya mwanamke ktk kuolewa..yaani uaminifu katika kujitunza na hatimae kuolewa akiwa Bikira.

Acha kurahisisha mambo...
 
Back
Top Bottom