Mwanamke bikra na asiye bikra

Pole usichukie..nia nikuokoa bikra tarajiwa nakutengeneza kizazi chenye heshima..kwasababu hakuna jambo baya km uma..laya!!tabia hii inaondoa uaminifu kwenye jamii..

Na zaidi ya yote ipo sababu ya msingi Mungu kuweka hiyo alama kwa wanawake na sii kwa Me!!ndio maana tuna ujasiri wakuhoji na lazma tuhoji ili tuwekane sawa...

Haiwezekani ktk ndoa hamsini ni ndoa tano au kumi ndio wamejitunza ili hali arobaini wote wameingia kwenye ndoa wakiwa SUGU...yaani kwao tendo la ndoa haliwasumbui yaani wanalichukulia kama kaigizo

Kumbe hili tendo ndio ndoa..bila tendo hakuna ndoa!!
Maelezo mazuri sanaa
Nimekuelewa mkuu
 
Kile unachokijua ndo kitamu, ni mpaka ujaribu kingine ndo uanze Ku compare" na ndo mwanamke bikra alivo. Anamjua bwana wake tu ndo mtamu mwingine ni mpaka ajaribu"

Hawa ( used) ni kuvumiliana tu ladha nyingi anazijua, akikucompare na x wake anakua anakuchora tu"
Kweli mkuu.
 
Hizo bikra tutunze hadi baada ya ndoa kwenye honey moon ndo tuwape??
Maana mnasemaga hamtaki uziwa mbuzi kwenye gunia.... Mnajiaminisha AF mkipewa hizo bikra mnasepa hamuoi....
Embu fungukeni tuwaelewe...
Ndioo!!
 
Najaribu kuhusianisha huu uzi na jinsi mastaa wa bongo wanavyobadilishana mademu...sijui kuna nini huko. Kwakweli wanawake wana siri nzito sana, hakuna cha mwenye bikra au mwenye sugu...wote mwalimu wao ni mmoja.
 
Kisha unaskia jamaa kaoa!Aibu kuu Marufuku mwanangu kuniletea SUGU eti ndio wife...thubutu!!
 
Mkuu ukioa mwanamke ambaye sio bikra basi umeoa mke wa mtu, Chapa Chapa ila wa kuweka ndani hakikisha ni silidiii, najua watakuja kutokwa povu kuwa je hao unaochapa wataolewa na nani? Hao wameshaamua kuvua nguo kabla ya ndoa hawana haki ya kuolewa na Acha tu waendelee kuwa single mothers, Ww jikoroge uchukue mzigo ambao K imetepeta kama mpira Lazima uisomee number
Mkuu umeoa underage nini ama umenuia kuoa under age....kukuta bikra humu mijini ni ngumu hasa kwa mabinti wa 18....and above
 
Yes man..ule utam anaopata mwanamke kwa Mara ya kwanza huwa hauishi akilini mwake, hata awe na wanaume wangapi! Akikutana na yule aliemtoa bikra huhisi utam uleule na hujiona kama bado ni mtoto!
Wewe ni ke?
 
Back
Top Bottom