Mwanamke bikra na asiye bikra

Mwanamke bikra na asiye bikra

Ukitaka kuoa bikira na wewe uwe bikira lakini kama na wewe ni opena iliyokwishatumika basi usiangaishe watoto wa watu kuwa bikira. Iwapo ukioa bikira na wewe Ukawa ni bikira akika utafurahi maisha yenu maana wote mnakuwa wageni wa kila kitu. Na omba Mungu usije kuonja au akaonjwa na wabinua miguu hapo ndipo utaitwa dume surwali.
 
kwani hizo bikra wanazitoa peke yao me nadhani tatizo ni mporomoko wamaadili ktk jamii pmj nautandawazi kutaka kujaribu kila kitu...enyi wanaume tusiwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa tuone km bikara zitakua zakutafuta km wafanyakaz hewa
 
mbona kutunza inawezekana mpaka siku ya honey moon coz haiwezi kupotea yenyewe km hutoruhusu kale kamchezo
 
Unavyowapitia na kutaka kueabikiri, ndo na wenzako wanafanya hivyo hivyo. Sasa kama humtaki uliyemtoa bikra,utampata aliyetolewa na wenzako. Sasa basi,utatafuta mpaka upara na mvi
 
kwani hizo bikra wanazitoa peke yao me nadhani tatizo ni mporomoko wamaadili ktk jamii pmj nautandawazi kutaka kujaribu kila kitu...enyi wanaume tusiwatoe mabinti bikra kabla ya ndoa tuone km bikara zitakua zakutafuta km wafanyakaz hewa

Aliye waambia wakubali ni nani?walioweza kutunza wao wananini? Ulaku unawasumbua na mwishowe hupeleka SUGU kwenye ndoa.
 
Wabongo sisi ni watu wa kutumia vitu vilivyotumika tu (used)mfano gari,nguo,nk
 
kwa aina ya uandishi wako ni wazi unataka hivyo, haiwezekani usapoti kuoa mwanamke aasiye na bikra
Rudi kusoma nlichoandika.
Nimesema kuoa bikra au sio bikra sio 'guarantee' ya uaminifu wa mwanamke.
Hakuna sehemu nimesema nataka kuoa mwanamke ambaye sio bikra.
 
Usimfananishe mwanaume na mwanamke..
Mungu ana makusudi yake kumpa mwanamke ubikira, na kumuacha mwanaume huru..
Tunza sana Usichana wako, Usipende kujilinganisha na mwanaume... ndoa zitakushinda
Swali ni kuwa unaweza kujitunza ?!. Hayo unayoyasema ni mambo ya jadi je waweza kujitunza mpaka kufikia ndoa
 
Back
Top Bottom