Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Uharibifu mwingine bwana. Yaani sie waafrika tuna tabia za kijinga kweli. Kama uchawi ama nguvu za giza zina maendeleo kwanini tusitumie hiyo njia kutuletea maendeleo? Kigoma pia wana kamchezo kama haka ama kukujoa dagaa kwa kina baba, yaani unakojoa dagaa mpaka unalia kwa uchungu jinsi dagaa anavyokwangua dushelele. Binafsi naelewa kwanini watu wanatoka nje ya ndoa kwani hakuna binadamu anayefanya kitu bila kuwa na sababu, wote tunaelewa hivyo. Kuna walio wengi tu hawana furaha na ndoa zao na suluhisho ni hilo kutoka na machangu ama kuwa na serengeti boy wa kujiliwaza naye ila si kuachana na wapenzi wao kwani vya kupoteza ni vingi mno kama: watoto, urithi, na other securities. Lazima tujuwe kwamba mwanamke aliyeolewa ama aliye kwenye mahusiano akitoka nje ya ndoa yake si kwa sababu yeye ni malaya lahasha, mara nyingi ni kwa sababu kuna kitu anakosa nyumbani kwake, na mwanamme ni hivyo hivyo na ndiyo maana tulio wengi tunatoka nje ya ndoa zetu si kwa sababu hatupendi partners zetu bali kutafuta raha mwanana ama utamu wa kitu roho inapenda pamoja na kupata radha tofauti. Msemo wa kusema kwamba chakula kile kile wapishi tofauti ni ujinga, huwezi fananisha utamu asili wa kitandani na chakula. Utamu asili wa kitandani una utamu wake na utamu huo unatokana na utundu wa wachezaji washiriki. Nawakilisha, japo mnanisonya lakini habari ndiyo hiyooooo!


CC: Waziri wa Afya, Mh. MziziMkavu (Mb. JF)

Hii ni sayansi yetu waafrika mkuu lazima tuitumie kumwangamiza adui yako, wenzetu wazangu nao wanatumia sayansi zao kukabiliana na adui ila kwa njia tofauti na zetu waafrika lengo ni moja kumwadhibu adui.
 





Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....


Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...


Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia, mwanamke huyo alimka usiku na kuelekea chooni kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa kuona mkojo hautoki.Alipojichungulia,Ikulu ilikuwa IMEZIBWA..!!!


Taarifa zinadai kwamba, mwanamke huyo alizimia pale pale.


Kwa mujibu pia wa mtandao wa Zimbabwean ambao nao umeripoti kuhusu tukio hilo, mwanamke huyo anadaiwa kuwa na tabia chafu ya kutembea na waume za watu, hali ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake wenzie...


Mtandao huo umedai kwamba , katika siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai alimpa ONYO kali mgoni huyo baada ya kugundua kuwa anatoka kimapenzi na mume wake na kumtaka aache mara moja...


Baada ya siku chache kupita tangu onyo hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta amenyofolewa nyeti zake....


Source: standardmedia

cc : JF ladiess & chit chat
 
maskini angemwachia hapo hata kidogo cha kukojolea tu basi
 
Kiafya hii inakaaje kwani kutokukojoa ni hatari inayoweza sababisha kifo, tujuze maendeleo yake.
 
Huyo mwanamke ni mbinafsi sana hajui kama kizuri kula na nduguyo?
 
Analia nin? starehe au kumiss urination? science iliyotumika kuziba ndiyo itakayotumika kuzibua!
 
This is fantastic! hii teknolojia inabidi iendelezwe! watu watafiti zaidi ili matumizi yake yaongezeka!
 
hahahahahh! hapa ngoja nikae opo kwanza mweeeh!
Zahra White hivi mara ya mwisho tulikutana wapi vile??
 
Last edited by a moderator:
ehehehhehhe hebu ngoja kwanza nakuja!
ahahahhahhahahhahahhaha watu na teknelojia zao!
 
Saint Ivuga hii habari imeniacha hoi kabisa, hii teknolojia ikifika Tanzania hasa DSM wanawake wengi watakuwa mental....ndio mchezo wa mjini eti.....vidumu na ndoo ndio wanafanya....
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe wanawake wanapenda sana kuwa na K zao? Nilifikiri angefurahi wamempunguzia mzigo wa ubebaji kila siku.
 
unikome na munikome kama mumeo anakupenda asingenifata nakunililia na ticket kila wikiend anaipa economic class muikome kabisa
ha ha ha ha ha nimekupenda bureeeeeeeeeeeeeeee dongo kwa Zahra White loooo.
Wallah nimecheka sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom