Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Kama umekasirika sana tafuta ngazi upande juu ukafute mawingu vumbi na ukiwa bado na nguvu kapige deki bahari...
Ulibug meeen kuleta habari chafu hapa kwa GT's
alidhani watu wangemsifia kwa kuchukua waume za watu
sasa kakutana na a different stori anatapapa tapa na "muniache"
 
duhhhh hiyo mpya saa kojo hilo alimwagia wap?? Na iwe funzo kwa wote
 
Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....

Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...

Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia, mwanamke huyo alimka usiku na kuelekea chooni kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa kuona mkojo hautoki.Alipojichungulia,Ikulu ilikuwa IMEZIBWA..!!!

Taarifa zinadai kwamba, mwanamke huyo alizimia pale pale.

Kwa mujibu pia wa mtandao wa Zimbabwean ambao nao umeripoti kuhusu tukio hilo, mwanamke huyo anadaiwa kuwa na tabia chafu ya kutembea na waume za watu, hali ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake wenzie...

Mtandao huo umedai kwamba , katika siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai alimpa ONYO kali mgoni huyo baada ya kugundua kuwa anatoka kimapenzi na mume wake na kumtaka aache mara moja...

Baada ya siku chache kupita tangu onyo hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta amenyofolewa nyeti zake....

Source: standardmedia
Shukrani kwa Dj Teddy

Uharibifu mwingine bwana. Yaani sie waafrika tuna tabia za kijinga kweli. Kama uchawi ama nguvu za giza zina maendeleo kwanini tusitumie hiyo njia kutuletea maendeleo? Kigoma pia wana kamchezo kama haka ama kukujoa dagaa kwa kina baba, yaani unakojoa dagaa mpaka unalia kwa uchungu jinsi dagaa anavyokwangua dushelele. Binafsi naelewa kwanini watu wanatoka nje ya ndoa kwani hakuna binadamu anayefanya kitu bila kuwa na sababu, wote tunaelewa hivyo. Kuna walio wengi tu hawana furaha na ndoa zao na suluhisho ni hilo kutoka na machangu ama kuwa na serengeti boy wa kujiliwaza naye ila si kuachana na wapenzi wao kwani vya kupoteza ni vingi mno kama: watoto, urithi, na other securities. Lazima tujuwe kwamba mwanamke aliyeolewa ama aliye kwenye mahusiano akitoka nje ya ndoa yake si kwa sababu yeye ni malaya lahasha, mara nyingi ni kwa sababu kuna kitu anakosa nyumbani kwake, na mwanamme ni hivyo hivyo na ndiyo maana tulio wengi tunatoka nje ya ndoa zetu si kwa sababu hatupendi partners zetu bali kutafuta raha mwanana ama utamu wa kitu roho inapenda pamoja na kupata radha tofauti. Msemo wa kusema kwamba chakula kile kile wapishi tofauti ni ujinga, huwezi fananisha utamu asili wa kitandani na chakula. Utamu asili wa kitandani una utamu wake na utamu huo unatokana na utundu wa wachezaji washiriki. Nawakilisha, japo mnanisonya lakini habari ndiyo hiyooooo!

CC: Waziri wa Afya, Mh. MziziMkavu (Mb. JF)
 
Last edited by a moderator:
munikome kama hujui mambo mumeo kanifata nifanyeje??
Na utakoma mwaka huu kazi huna,ur not a looker,shapeless watembea kwa jua mie nasukumax5 na mukome kunifatilia mukome kabisa muone wewe si ulisema kuwa unafuraahi sex umefikisha miyaka 30 tena koma uende huko huko.
Mwanamuke mubaya wewe

ukisikia aiiiii ujue limempata
 
Ndio hapo sasa, inapidi sijui alitolee masikioni...
Huku Tanga haswa Pangani ukitembea na binti kwa nia ya kumchezea basi kuna wazee hao wanatafuta mpira wa baiskeli "tyre tube", halafu wanaijaza taratibuuuu...jinsi inavyozidi kujaa pumzi ndivyo korodani za kidume nazo zinavyoendelea kututumuka...mwisho wa siku zinapasuka kama pulizo na ndio inakuwa mwisho wa habari ya ukware!!

Cant wait daddy... ntaja unipeleke kwa huyo fundi... anikamatie mkweo!!!!
 
Uharibifu mwingine bwana. Yaani sie waafrika tuna tabia za kijinga kweli. Kama uchawi ama nguvu za giza zina maendeleo kwanini tusitumie hiyo njia kutuletea maendeleo? Kigoma pia wana kamchezo kama haka ama kukujoa dagaa kwa kina baba, yaani unakojoa dagaa mpaka unalia kwa uchungu jinsi dagaa anavyokwangua dushelele. Binafsi naelewa kwanini watu wanatoka nje ya ndoa kwani hakuna binadamu anayefanya kitu bila kuwa na sababu, wote tunaelewa hivyo. Kuna walio wengi tu hawana furaha na ndoa zao na suluhisho ni hilo kutoka na machangu ama kuwa na serengeti boy wa kujiliwaza naye ila si kuachana na wapenzi wao kwani vya kupoteza ni vingi mno kama: watoto, urithi, na other securities. Lazima tujuwe kwamba mwanamke aliyeolewa ama aliye kwenye mahusiano akitoka nje ya ndoa yake si kwa sababu yeye ni malaya lahasha, mara nyingi ni kwa sababu kuna kitu anakosa nyumbani kwake, na mwanamme ni hivyo hivyo na ndiyo maana tulio wengi tunatoka nje ya ndoa zetu si kwa sababu hatupendi partners zetu bali kutafuta raha mwanana ama utamu wa kitu roho inapenda pamoja na kupata radha tofauti. Msemo wa kusema kwamba chakula kile kile wapishi tofauti ni ujinga, huwezi fananisha utamu asili wa kitandani na chakula. Utamu asili wa kitandani una utamu wake na utamu huo unatokana na utundu wa wachezaji washiriki. Nawakilisha, japo mnanisonya lakini habari ndiyo hiyooooo!

CC: Waziri wa Afya, Mh. MziziMkavu (Mb. JF)
Mkuu Mkereketwa_Huyu Ndio na utamaduni wetu huo Mambo ya Uchawi Wazungu wana uchawi kutushinda sisi wanakwenda Mwezini kwenye space, sisi tunarogana na kuumizana mambo ya kitoto amemfanyia mwanamke mwenzake ametowa raha zake zote za kimaisha. Alimuonya lakini hakusikia ndio mwisho wake siku nyingine hatoweza kuchukuwa waume za watu na ni onyo kwa wengine kuchukuwa waume za watu.
 
Utakuja kushangaa huyu aliyefanya hivi ana maisha duni kishenzi, yeye kazi yake ni kubomoa tu na kuharibu. watu wanaacha kuroga viongozi wasio na mwelekeo ili waachie madaraka wenyewe wanarogana kwa mambo ya kitoto. Hivi vitu waachieni Simba na Yanga jamani.
 
Back
Top Bottom