Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,506

Mwanake mmoja nchini Zimbabwe amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA SIRI ( Uke)....

Mwanamke huyo alikumbwa na balaa hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...

Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia, mwanamke huyo alimka usiku na kuelekea chooni kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa kuona mkojo hautoki.Alipojichungulia,Ikulu ilikuwa IMEZIBWA..!!!

Taarifa zinadai kwamba, mwanamke huyo alizimia pale pale.

Kwa mujibu pia wa mtandao wa Zimbabwean ambao nao umeripoti kuhusu tukio hilo, mwanamke huyo anadaiwa kuwa na tabia chafu ya kutembea na waume za watu, hali ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake wenzie...

Mtandao huo umedai kwamba , katika siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai alimpa ONYO kali mgoni huyo baada ya kugundua kuwa anatoka kimapenzi na mume wake na kumtaka aache mara moja...

Baada ya siku chache kupita tangu onyo hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta amenyofolewa nyeti zake....

Source: standardmedia
Shukrani kwa Dj Teddy
 
Hii inamfaa sana Zahra White, ngoja uje kujichanganya kwa wajanja wenzako waizibe hiyo toilet!!
 
Last edited by a moderator:

munikome kama hujui mambo mumeo kanifata nifanyeje??
na utakoma mwaka huu kazi huna,ur not a looker,shapeless watembea kwa jua mie nasukumaX5 na mukome kunifatilia mukome kabisa muone wewe si ulisema kuwa unafuraahi sex umefikisha miyaka 30 tena koma uende huko huko.
Mwanamuke mubaya wewe
 
Last edited by a moderator:
Zahra White wewe pamoja na model wako n sumari chukueni somo hapo mkizibwa ndio akili itawakaa vizuri
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha nimekupenda bureeeeeeeeeeeeeeee dongo kwa Zahra White loooo.
Wallah nimecheka sana

nimekuambia munikomena kuachwa kwenu munajifanya wajanja hata kutunza mume hamujui na munikome na waume zenu nitawabeba sana tena munikome kabisa.
 
Last edited by a moderator:
munikome kama hujui mambo mumeo kanifata nifanyeje??
na utakoma mwaka huu kazi huna,ur not a looker,shapeless watembea kwa jua mie nasukumaX5 na mukome kunifatilia mukome kabisa muone wewe si ulisema kuwa unafuraahi sex umefikisha miyaka 30 tena koma uende huko huko.
Mwanamuke mubaya wewe

Mwenye X5 huwa hajisifii, inaonyesha hata baiskeli huna na huna ubavu wa kusukuma, we endelea kumaliza visigino kwa yebo yebo
 
Yaani kaamka anataka kumwaga kojo kakuta shimo limezibwa kojo halitoki

Ndio hapo sasa, inapidi sijui alitolee masikioni...
Huku Tanga haswa Pangani ukitembea na binti kwa nia ya kumchezea basi kuna wazee hao wanatafuta mpira wa baiskeli "tyre tube", halafu wanaijaza taratibuuuu...jinsi inavyozidi kujaa pumzi ndivyo korodani za kidume nazo zinavyoendelea kututumuka...mwisho wa siku zinapasuka kama pulizo na ndio inakuwa mwisho wa habari ya ukware!!
 
Maneno ya mkosaji haya hata aibu huna...kwani si ni wewe mwenyewe uliyejisifia ndio bingwa wa kukigawa hicho kitumbua!!
Kwa mikono yako mtoto wa kike ukashika kibodii ukaanza kutueleza namna unavyoliwa kama keki ya harusi...

munikome kama hujui mambo mumeo kanifata nifanyeje??
na utakoma mwaka huu kazi huna,ur not a looker,shapeless watembea kwa jua mie nasukumaX5 na mukome kunifatilia mukome kabisa muone wewe si ulisema kuwa unafuraahi sex umefikisha miyaka 30 tena koma uende huko huko.
Mwanamuke mubaya wewe
 
Ndio hapo sasa, inapidi sijui alitolee masikioni...
Huku Tanga haswa Pangani ukitembea na binti kwa nia ya kumchezea basi kuna wazee hao wanatafuta mpira wa baiskeli "tyre tube", halafu wanaijaza taratibuuuu...jinsi inavyozidi kujaa pumzi ndivyo korodani za kidume nazo zinavyoendelea kututumuka...mwisho wa siku zinapasuka kama pulizo na ndio inakuwa mwisho wa habari ya ukware!!

Hahahaha Tanga mamwinyi wengi sana dah sasa binti anaenda kusemelea kwa babu yake?
 
Mkuu watu wana TV za asili kule, yaani ukiamua kuwa na binti ni moja uwe naye mazima..lakini hii mambo ya kuchovya chovya buyu la asali, hukawii kuingiza kwenye mzinga wa nyuki.
Kuna vibabu ni vifundi sana mpwa...sijui hizi sayansi huwa vinatoa wapi
 
mwaka huu tena watamziba na kabang!!!
asikutishe huyo best angu twamjua Zahra White anajisifiaga humu na waume wa watu atakitafuta hicho kitobo na miwani ya mbao hahahahahahah bibie your past hunt you eeee sioni sababu yakumtusi mtu akati unaandikaga humu mwenyewe au tuweke thread zako hapa utazibwa hicho kifanyio kwikwiwkiwkwiwwkwiwkwiwkwi pole yako nawaume za watu bibi
 
Last edited by a moderator:
maneno ya mkosaji haya hata aibu huna...kwani si ni wewe mwenyewe uliyejisifia ndio bingwa wa kukigawa hicho kitumbua!!
Kwa mikono yako mtoto wa kike ukashika kibodii ukaanza kutueleza namna unavyoliwa kama keki ya harusi...
ahahahhahaaha sie twachukua reference tu ila her past hunt her heheheeeeh
 
Mkuu watu wana TV za asili kule, yaani ukiamua kuwa na binti ni moja uwe naye mazima..lakini hii mambo ya kuchovya chovya buyu la asali, hukawii kuingiza kwenye mzinga wa nyuki.
Kuna vibabu ni vifundi sana mpwa...sijui hizi sayansi huwa vinatoa wapi

Jamaa angu alipigwa ganzi kwenye dushelele, akiwa na demu wa Mwinyi dushelele inasimama akiwa na mchumba wake ambae alikuwa anataka kumuoa dushelele inalala kabisa haisimami mwaka mzima dah Mamwinyi kiboko
 
nimekuambia munikomena kuachwa kwenu munajifanya wajanja hata kutunza mume hamujui na munikome na waume zenu nitawabeba sana tena munikome kabisa.

Kama umekasirika sana tafuta ngazi upande juu ukafute mawingu vumbi na ukiwa bado na nguvu kapige deki bahari...
Ulibug meeen kuleta habari chafu hapa kwa GT's
 
asikutishe huyo best angu twamjua Zahra White anajisifiaga humu na waume wa watu atakitafuta hicho kitobo na miwani ya mbao hahahahahahah bibie your past hunt you eeee sioni sababu yakumtusi mtu akati unaandikaga humu mwenyewe au tuweke thread zako hapa utazibwa hicho kifanyio kwikwiwkiwkwiwwkwiwkwiwkwi pole yako nawaume za watu bibi

hahaaaa kuwa na wako nako kuna matter na asipoangalia huyu Zahra White u ajuza utamkuta akiwa hana kikojoleo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom