Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Mwanamke azibwa sehemu zake za siri

Hii ni sayansi yetu waafrika mkuu lazima tuitumie kumwangamiza adui yako, wenzetu wazangu nao wanatumia sayansi zao kukabiliana na adui ila kwa njia tofauti na zetu waafrika lengo ni moja kumwadhibu adui.

Wazungu wanatumia akili na ni open science to everyone with brains, ila sie tunatumi roho mbaya na nguvu za giza kuangamiza hata walio na haki ili tu kuharibu mazingira. Ndiyo maana sehemu yeyote inayoendekeza uchawi hapa Africa/duniani haina maendeleo.
 
unikome na munikome kama mumeo anakupenda asingenifata nakunililia na ticket kila wikiend anaipa economic class muikome kabisa

Hahahaaa@ Zahra...nna wasi wasi na wewe c mtanzania ni msomali.....hiko kiswahili!!
 
Kama umekasirika sana tafuta ngazi upande juu ukafute mawingu vumbi na ukiwa bado na nguvu kapige deki bahari...
Ulibug meeen kuleta habari chafu hapa kwa GT's
heee kumbe Watu 8 ni mwanamke
 
Last edited by a moderator:
heee kumbe Watu 8 ni mwanamke

Umeshachungulia maungo yangu hadi ufikirie hivyo???
Haya hebu nitake radhi haraka mno kabla sijatumia sayansi ya Pangani
 
Last edited by a moderator:
shostito me and you again??
lolest! Zahra White bwana.............nkuwache na nini tena swt wangu??

hongera kwa kupewa ticket ya economy class ya fast jet.
ila sijui nachanganya madawa mbona kama mkewe amu huwa anapandishwaga business class tena ya air lufthansa??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Wazungu wanatumia akili na ni open science to everyone with brains, ila sie tunatumi roho mbaya na nguvu za giza kuangamiza hata walio na haki ili tu kuharibu mazingira. Ndiyo maana sehemu yeyote inayoendekeza uchawi hapa Africa/duniani haina maendeleo.

Lazima tukubaliane na kutokubaliana wale ndo maana wanaitwa wazungu na sisi tunaitwa waafrika. Waafrika wangapi wameenda kusoma sayansi huko kwa wazungu na wamerudi na ujuzi afrika wanashindwa kutumia huo ujuzi? Ndo maana Miafrika ndivyo ilivyo-NN
 
ha ha nimecheka ujue mueleze watu na wake zetu tunawapandisha ANA na hawahisifii wala nini tunaona kawaida kweli nyumba ni kazi loo
shostito me and you again??
Zahra White bwana.............nkuwache na nini tena swt wangu??

hongera kwa kupewa ticket ya economy class ya fast jet.
ila sijui nachanganya madawa mbona kama mkewe amu huwa anapandishwaga business class tena ya air lufthansa??
 
Lazima tukubaliane na kutokubaliana wale ndo maana wanaitwa wazungu na sisi tunaitwa waafrika. Waafrika wangapi wameenda kusoma sayansi huko kwa wazungu na wamerudi na ujuzi afrika wanashindwa kutumia huo ujuzi? Ndo maana Miafrika ndivyo ilivyo-NN

Wewe Fidel80 utasoma na pengine kupata maendeleo. Ukienda kijijini kwenu kusalimia watu watakasirika na kutaka kutoa roho yako ili wakufuge na kukufanya msukule wao. Waafrika wengi hatupendi maendeleo hata kidogo na ndiyo maana hata wabunge wetu wanarogana kuua changamoto bungeni na kunyimana ulaji. Yote hii ni roho mbaya na kutokuwa na mawazo ya kimaendeleo na ndiyo maana Afrika au Tanzania yetu ya leo ni ile ile ya 1947, tofauti ni majengo mapya tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom