King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,160
- 95,908
Nasemea kwa mbinu ya huyu mama hatonipata sijapinga hile ya kunako dining mkuu!
Mkuu, mzizi wa habari hii ni NIA YA UUAJI(KUSUDIO), na wala si NAMNA YA UUAJI....we pengine huwa hulambi N'YA, lakini unalamba sana RESTAURANT YA MTOTO, sasa ndio utawekewa hapohapo ukauke ka SANAMU LA ASKARI WA SAMORA AVENUE!!
Mkuu pua nayo je, kuna kemikali nyingine ukinusa tu umekwisha.......
Atakuwa gaidi tu huyo mai waifu wake