saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
Huyu Mama mjanja sana alijua kuwa akiweka kwenye chakula mume wake anaweza kuja na mtu mwingine wakala wote, anaweza kumwambia mkewe akionje kwanza. Ushauri kwa wenye ndoa na wapenzi: MKEO AU MPENZI WAKO AKIKUKARIBISHA KWENYE MECHI, KAMA UNA MASHAKA TAFUTA MTU MWINGINE AANZE KABLA YAKO ILI UONE MATOKEO.
Hata ukitaka kumgonga mke wa mtu unatakiwa umchukue rafiki yako aanze game ili ukiona hawajagandana ndipo na wewe ule mzigo.