Mwanamke aweka sumu ukeni ili kumuua mumewe!

Mwanamke aweka sumu ukeni ili kumuua mumewe!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
117.jpg


Ilisemwa ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huko nchini Brazil mwanamke mmoja ambaye alikuwa amemchoka mumewe na hivyo kutaka kuachana naye aliamua kufanya jambo moja baya sana ambalo si kwamba lingemdhuru mumewe tu, bali pia lingemdhuru hata yeye mwenyewe na pengine hata kupoteza maisha wote wawili.

Mwamamke huyo badala ya kuomba talaka au hata kujiondoa katika ndoa hiyo ambayo kwake aliiona haina maana aliamua kumuwekea sumu mumewe aliyekuwa na umri wa miaka 43.

Lakini hakuweka sumu hiyo katika chakula, na badala yake akaweka sumu hiyo katika uke wake, na kisha kumshawishi mumewe kufanya naye mapenzi lakini alimuomba aende chumvini, (Kulamba uke) (Oral Sex) mahali ambapo ndipo alipoweka sumu hiyo.

Mumewe bila kujua alizama chumvini, lakini alishtushwa na harufu kali ya kemikali asiyoijua ikitokea kunako uke wa mkewe na hapo ndipo mchezo mzima uliposhtukiwa.

Kuona hivyo mumewe alimshauri ampeleke huyo mkewe hospitali akijua amepata tatizo katika uke wake. Mkewe alikubali na baada ya kumfikisha katika Hospitali iliyoko katika mji huo wa San Jose do Rito Preto, alifanyiwa vipimo na madakatari.

Madakatari hao waligundua kwamba mwanamke huyo aliweka sumu kwenye uke wake ili kumuua mumewe na yeye pia. Mwanamke huyo alikiri kufanya jambo hilo kwa makusudi kabisa. Alipatiwa matibabu na kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani.

Hata hivyo mumewe amedai atamshitaki huyo mkewe kwa jaribio la kutaka kumuua.

Duh, nimeishiwa na maneno kwa kweli.

Najua mtaniuliza chanzo, hebu fungueni hapa chini:

Vagina 'Murder Plot': Brazilian Man Accuses Wife Of Poisoning Her Private Parts To Kill Him


CC: Paloma, amu, marejesho, Preta, MwanajamiiOne, Husninyo, Kaunga, BADILI TABIA, nyumba kubwa, Kipipi, Smile, Asnam, King'asti, Jeska, Zinduna, cacico, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza, kipaji halisi, Bujibuji, MadameX, Madame B, Mwita Maranya, watu8, Arushaone, Filipo, kitalolo, Mungi, Don Mangi, Kaizer, Liverpool, lara 1, mwaJ, nivea, Lisa, snowhite, SnowBall, jouneGwalu, Ruttashobolwa, Kiranga
 
Last edited by a moderator:
Mnaokwenda chumvini, kazi kwenu. Vaeni ndomu mdomoni muwe salama. Vinginevyo chukueni tahadhari
Mkuu pua nayo je, kuna kemikali nyingine ukinusa tu umekwisha.......
 
duuuh!hizi ndoa za siku hizi shughuli,kila mtu anakua mbunifu heheeee!kazi kwa wanopenda chumviiii!
 
Ole wake kemiko hiyo ije kwetu kwa Tandale kwa tumbo, watakomaje?
 
Huyu Mama mjanja sana alijua kuwa akiweka kwenye chakula mume wake anaweza kuja na mtu mwingine wakala wote, anaweza kumwambia mkewe akionje kwanza. Ushauri kwa wenye ndoa na wapenzi: MKEO AU MPENZI WAKO AKIKUKARIBISHA KWENYE MECHI, KAMA UNA MASHAKA TAFUTA MTU MWINGINE AANZE KABLA YAKO ILI UONE MATOKEO.
 
Kwanini asingemconsult Baba V ili atengue tu ndoa yao kwa amani? Nini sasa mambo ya kuwekeana sumu IKULU?
 
Last edited by a moderator:
daaah...........hii kareee.....sasa hiyo kei si itakuwa imeathirika?!?!? :confused2:
Alitibiwa na hiyo sumu kuondlewa katika eneo la tukio.
Na kwa taarifa yako jamaa anaendelea kula mzigo na wanapika na kupakua nyumbani kwao..........LOL
 
Mwanamke kama huyu anatakiwa atumike kutuulia magaidi wanaoisumbua serekali.
 
Mumewe bila kujua alizama chumvini, lakini alishtushwa na harufu kali ya kemikali asiyoijua ikitokea kunako uke wa mkewe na hapo ndipo mchezo mzima uliposhtukiwa.
hapo kwenye bold....
 
Hizo picha zako bana zinaniacha hoi. Utadhani huyo dada ndo ametoka kuweka sumu ktk puchilo yake.
Anyway, mapenzi yakiisha, always hatred inashika kasi mno. Nashindwa kuelewa anapewaje pussy wakati uhasama ulikuwa juu kiasi cha kutaka kutoana roho!:target:
sasa tukiona tunasisitiziwa kwenda uvinza na wapenzi wetu, itabidi kujiuliza mara zaidi ya moja.
 
Huyu Mama mjanja sana alijua kuwa akiweka kwenye chakula mume wake anaweza kuja na mtu mwingine wakala wote, anaweza kumwambia mkewe akionje kwanza. Ushauri kwa wenye ndoa na wapenzi: MKEO AU MPENZI WAKO AKIKUKARIBISHA KWENYE MECHI, KAMA UNA MASHAKA TAFUTA MTU MWINGINE AANZE KABLA YAKO ILI UONE MATOKEO.

Hapo umenena, tena mimi nime speshalaizi kwenye bio chemical testing, I will be pleased to help
 
Back
Top Bottom