G
Sio kwa hawa watu weusiDawa ya yote haya ni kuoa mke mmoja na kutengeneza nae familia.
Cha msingi ukae nae na katiba yenu ijulikane na ibara zake zote. Priorities zote ziwe ni nyinyi tu, si nani wala nani, nyie kwanza. Hata kama mmoja ndo mleta pesa, mwingine ajue majukumu yake.
Mwanaume epuka michepuko, hao mpango wa kando wanamaliza sana pesa na focus. Usiwe na mpenzi mwingine ila mke wako. Na mke afanye vivyo hivyo. Usipende kula gengeni, kula alichopika mkeo. Ikipidi akuandalie chakula hata kama ni chai ubebe uende nayo job. Kula home made.
Tunza mkeo na watoto wako, wakipata furaha hata nawe utakuwa na furaha. Akipotoka mjenge kisaikolojia na ongea nae mara kwa mara kumjenga. Kama ni mwelewa utadumu nae. Kama si wa kukaa, basi hata ufanyaje ataondoka tu.
A woman is either wifeable or fu**kable. Ukipenda namba 2 itakula kwako.
Nyie mnaielewa hiyo kanuni?Btw, kwann usubiri mpk mwanamke wako akuombe pesa ?
Sio sawa, fanya kwa sehem yako kwa uwezo wako hiohuo ulionao...
Ni nzuri kuliko mpk usubiri uombwe sio poa wakaka
Hee leo kweli naona nimea.ka vzr
Mimi sisemi tena ukizingua utakutana na wale wa mamtu una jero hapo unitumie halopesaHee leo kweli naona nimea.ka vzr
Issue iko deep kiasi hiko😁
Budaa,Christine_1 ni wapi ungepata mtu anaejua kumshukuru Mungu kwa ajili yako kwa kiasi hiki. Hii ni zaidi ya mibaraka kwako. Wengine wanataka hata anaepumua tu ila wewe umepewa mwenye mibaraka tele.
😁😁😁khaaaMimi sisemi tena ukizingua utakutana na wale wa mamtu una jero hapo unitumie halopesa
MnoooNyie mnaielewa hiyo kanuni?
Usituangushe son.Budaa,
Nashukuru kwa kunipambania vilivyo
Much appreciation buda,10 years? bado ni age mate Red black son suala likienda vyema tuambie sisi kaka zako.
Tutasimamia hili jambo.
Christine_1 huu ndo mda sahihi mambo mazuri huwa yanakuja in unexpected ways..
Nipo tayari kuweka Baraka hili jambo.
We mgogo?😁😁😁Mambo yote ni muswano buda😁
Hapana mamiiWe mgogo?😁😁😁
Tumepoa ndio hatuna jinsi mama muhimu tunaweka principle zetu akifuata tunaenda pamoja hasipofuata anawekwa pembeniImagine 🤣🤣🤣🤣
Wanaume mnapitia mengi sana poleni sana
Hao sio wote ndio tunaokutana naoMnooo
Ila sio wote
Mwingine anakwambia mama anaumwa anaenda kumuona mkoani umsaidie nauli kumbe anatoka kigamboni anaenda mbweni kwa bwana.Eti mtoto wa dada kameza sh 50 tuma laki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We tulia muda utaongea😁😁😁khaaa
Pamoja mkuu ni muhimu kupata alie bora kabisa.Budaa,
Nashukuru kwa kunipambania vilivyo
Sawa shem hutaki ujingaWe tulia muda utaongea
Ni kweliHao sio wote ndio tunaokutana nao
Sio tu sitaki ujinga na huo ujinga wenyewe haunitaki shem.Sawa shem hutaki ujinga
Haha