Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

Sirudii tena mwanamke anaeendekeza pesa sitaki hata kumsikia. Huyo alikuwa kausha damu haswa tukikutana inakatika kama 100K hivi na hapo bado anataka zaidi. Ogopa sana mwanamke unampa hela lakini bado anashindwa hata kununua maji ya tsh 500/=

Bado hujakutana na Ke pasua kichwa mkuu, utakuja kulaani siku uliyozaliwa duniani kwa kupigwa matukio endelevu kwa kunguru asiyefugika.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…