Mwanamke anayetafuta mwanaume utamjua tu

Mwanamke anayetafuta mwanaume utamjua tu

NOTE:
Si kila mwanamke anayependa kutembea peke yake anatafuta mwanaume japo uchunguzi wangu umebaini zaidi ya asilimia 80 ya wanawake wanaotembea peke yao kila mara wanakuwa wakitafuta mume.

Mkuu ongeza na hii kama NB: "Kwa kizazi cha sasa Ukiona wanawake wawili kila sehemu wanatembea pamoja wao wawili wala ubahatiki kumuona mmoja wao yeyote akiwa na mwanaume, ila ni wao tu wawil kila sehemu na wala ujasikia tetesi wakiwa na mwanaume basi jua kuna uwezekano kua hao wawili WANASAGANA"
 
Duuuh....u r not wise
 
kweli kabisa mkuu, i agree with u 101%. na wanawake wa namna hiyo hata kama ukiwaomba namba ya cm ni rahisi sana kutoa, hata na physical addres pia. chezea kujiuza wewe!
 
Haaaah nmecheka sana iyo ni njia mojawapo ya Ku capture watu lakn sio wote wanatembea pekeyao kwa intention hiyo! Najua wengi mtakataa lakn mi nshahd wa moyo Wangu!
 
Lakin sometyms company znaboa we unampango wa kutumia elfu 50 peke yako utashangaa umelipa laki 3 za wenzio japo pesa makaratasi na hasara roho yako lakin kila cku ikifika mufa wa kulipia bili watu wanakusubir wewe ufungue poch wa kwanza jaman!!!!! Ndo maana sometyms naamua kuwa peke angu lakn utashangaa napata na wakunilipia bill na kunipa hela za mafuta! Hahaaaaah
 
Daaah katoto kambea haka....sasa unataka nikwambie nlivyomnasa kaka yako ili iweje

Thanks!!Plz read it again, alafu angalia kwa makini maneno yaliyotumika haswa tazama neno lililo ktk Italic
 
kweli kabisa mkuu, i agree with u 101%. na wanawake wa namna hiyo hata kama ukiwaomba namba ya cm ni rahisi sana kutoa, hata na physical addres pia. chezea kujiuza wewe!

kwahiyo wanajiuza siyo? ni lini uliwahi kufanya mathematics calculation na kupata 100% ?
 
Hii habari ni ya kweli, lakini ingeweza kukosa upinzani wa kina ingetolewa kama elekezo la jinsi ya mwanamke kutafuta mwenza, yaani aseme; Mwanamke ukitaka kupata mwenza usipende kutembea na wenzio ... !

Sasa imepata upinzani kwa kusema kwamba mwanamke ukitembea peke yako unatafuta mwenza.
MCHUNGUZI HURU, big up na chunguzi zako.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh.... mie napenda kutembea mwenyewe sababu ya kukwepa kupotezeana muda kwenye vioo... kumbe ndo njia ya kutafuta bebiiiii hiyo!!!
 
J2 yangu ishakuwa bomba,mdogo mdogo kitaani nikisearch wa type hizo
 
of coz its true maana kama ana mwanaume basi angepaswa kuwa nae:cool2:
 
ukisoma mwisho kabisa mwa thread yangu utanielewa zaidi
80% wanatafuta wanaume!!
kwangu naona ni mtazamo potofu wa sisi wanaume, tunasahau kuwa dunia imebadilika sana siku hizi. Zamani ukimuona mwanamke Bar, awe peke yake au hata kundi tulikuwa tukidhani wanatafuta wanaume. Lakini siku hizi wakinadada wengi wanajitambua. Nao wanaenda Bar kujiburudisha kwa nyama choma na bia tena kwa hela zao. Wengine utakuta ni committed kwenye ndoa zao au mahusiano waliyomo. Kwangu mm hicho ni kitu cha kawaida. Kwani sisi wanaume hakuna wkt tunataka kuwa peke yetu kwa sababu tunataka kutafakari mambo fulani? Kwa nn isiwe hivyo kwa wanawake?!!
 
of coz its true maana kama ana mwanaume basi angepaswa kuwa nae:cool2:
Sio kweli, wewe muda wote uko na girlfriend/boyfriend wako? Kuna wakati kila mtu anahitaji kupumua ili mradi hafanyi madhambi na kumsaliti mwenzake
 
Back
Top Bottom