Mwanamke anayetafuta mwanaume utamjua tu

Mwanamke anayetafuta mwanaume utamjua tu

Inategemeana ala ......

Fuata nyuki ule asa.....
Ukiona mzinga siyo yote yenye asali:what:

I see me😡
 
Na wale wanaotembea kwenye kikundi (kuanzia wawili), chunguza sana lazima kuwepo na kiranja. Analosema ndio hilo hilo. Mwanzake akifuatwa na jamaa wakati yeye hajapata hiyo fursa hiyo, atamwambia - achana na mtu huyo hana lolote! mwisho wa siku wanakosa wote. Waliong'amua hilo ndiyo maana wanatembea peke yao. Hoja unayo Mchunguzi Huru!
 
ishakuwa tabu. sijui nimtafte nani niwe natembea nae.
 
Kuna watu wamepinda haswa..hata watembee kina dada ishirini akitaka kumchomoa mmoja anamchomoa aiseee....kuna majembe mjini hapa.
 
itabidi watu watembee makundi kama wanatoka shule
 

note:
si kila mwanamke anayependa kutembea peke yake anatafuta mwanaume japo uchunguzi wangu umebaini zaidi ya asilimia 80 ya wanawake wanaotembea peke yao kila mara wanakuwa wakitafuta mume.

eeeh!! 80-20 principle??!!!
 
Back
Top Bottom