Mwanamke anayetafuta mwanaume utamjua tu

Mwanamke anayetafuta mwanaume utamjua tu

Inaonesha una experience sababu maelezo yako yanaonyesha ulifanya utafiti practicaly kwa kuaproach kila msichana aliye kuwa peke yake na eventually 80% walikukubalia #aisee we mkali
 
Kwanza ingekuwa vizuri kama ungetueleza ulitumia njia gani katika kufanya utafiti wako. Lakini pia utuambie ulifanyia maeneo gan, maake isijekuwa ulienda sehemu ambazo madada poa hupendelea, kwani nao wakati mwingine hupenda kuwa isolated ili kupunguza competition.
 
Back
Top Bottom