Mwanamke anavyovaa ni kwa influence ya nani?

Mwanamke anavyovaa ni kwa influence ya nani?

Mkuu mm ni mfuatiliaji mzuri sana wa mambo yaani nafuatilia hapa naona.. Yaani watu wanajidai so inocent..utadhani bongo huko kuna malaika..sasa hao wanaovaa nusu uchi posta hapo na kuzungusha macho hukuna kule wanatoka wapi..

hawana ishu
 
Binafsi navaa ninavyojisikia mie..siku najisikia kupigwa upepo navaa kinachoruhusu upepo,siku najisikia kujibanabana navaa cha kunibana na kadhalika...
 
Binafsi navaa ninavyojisikia mie..siku najisikia kupigwa upepo navaa kinachoruhusu upepo,siku najisikia kujibanabana navaa cha kunibana na kadhalika...
Nasubiri siku ujisikie kutembea uchi.lol
 
Binafsi navaa ninavyojisikia mie..siku najisikia kupigwa upepo navaa kinachoruhusu upepo,siku najisikia kujibanabana navaa cha kunibana na kadhalika...

Siku ukijiskia kuvaa dhera chukuchuku una vaa
 
Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii zetu nyingi. Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika nyanja mbalimbali za maisha. Kutokana na huu mtazamo, wengi wanaamini kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya maamuzi ya aina yoyote ktk maisha ya kila siku.Tuje kwa upande wa mavazi hasa kwa wadada zetu ambao wengi hudiriki hata kutembea nusu uchi wakidai ni fashion. swali linakuja, kwamba; wanavovaa vile ni maamuzi yao au kuna mtu/watu wenye maamuzi aghalabu wanaume wanaowasababisha au kupenda wao wavae vile?? Tupe mtazamo wako.Naweka mjadala mezani.


Nafkiri bibilia na kurani imekupotosha.

Na haujui Kuna tofauti kati ya udhaifu na uamuzi.

Anapotaka kula chakula anamuliwa
Na mwanaume?
Anapotaka kwenda kunya ana amuliwa na mwanaume?

Omba ufafanuliwe nini maana ya udhaifu na nini maana ya uamuzi
 
Zakoyo wewe ni muongo. Vijijini watu wanaishi kwa kusikilizana na si kwa kuamuliana. Labda kijiji cha wanasai na wasukima au wakurya hawa matata
 
Nafkiri bibilia na kurani imekupotosha.Na haujui Kuna tofauti kati ya udhaifu na uamuzi. Anapotaka kula chakula anamuliwa Na mwanaume? Anapotaka kwenda kunya ana amuliwa na mwanaume? Omba ufafanuliwe nini maana ya udhaifu na nini maana ya uamuzi
Nifafanunulie wewe.
 
Mpaka kesho mi huwa naamini mwanamke si mtu kamili ni ubavu tuu kutokana na mwanaume ndo maana hata mawazo yao ni ya kitofauti tuu bibilia imeandika nendeni mkaishi nao kwa akili kwa hiyo usipo tumia akili ya ziada kwa mwanamke mnashindwana mapema kwa hiyo hata uvaaji wao ni wa kishetani tuu alafu chunguza uone wanawake karibia wote akili zina fanana!! Siyo mdogo wala mkubwa!!
 
Back
Top Bottom