Mwanamke anavyovaa ni kwa influence ya nani?

New+Document.jpg

Kuna mdau alisema dengue itabadilisha uvaaji, mini skirts na vitop vitakua likizo.
 
Hivi mwanaume anavyoacha hela mezani huwa anasema leo mnunue kitu fulanonkwa ajaili ya chalula
Rejea mada vizuri. Najua kuna maeneo mko vizuri mi nimeuliza upande wa mavazi.
 
Haipp sawa mm nimekuulza kama huwa tunafuata maelezo yenu hiyo ni tabia ya mtu sidhani kama kuna wanaume mnapenda wanawake zenu waonyeshe mali zenu nje mm binafsi najitambua wasijitambua niwachache sana
 
Ni wachache ila wapo. Sisi wengi hatupendi wapenz wetu waonyeshe nyuchi zao kweli. Ndo maana ukiangalia walio ktk mahusiano yanayoelweka kidogo wanakuwa na uvaaji wa kistaarabu kidogo. Sawa suala zima ni tabia ya mtu bt kubali ukatae uvaaji wa wadada wengi ni baada ya kusifiwa hasa mwanaume.
 
So kimaadaungetutoa wale tunaojua kujistiri ni baathi na ss si dhaifu kwenu
 
Ni matumaini yangu kuwa
nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii
zetu nyingi. Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika
nyanja mbalimbali za maisha. Kutokana na huu mtazamo, wengi wanaamini
kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya maamuzi ya aina yoyote ktk
maisha ya kila siku.Tuje kwa upande wa mavazi hasa kwa wadada zetu ambao
wengi hudiriki hata kutembea nusu uchi wakidai ni fashion. swali
linakuja, kwamba; wanavovaa vile ni maamuzi yao au kuna mtu/watu wenye
maamuzi aghalabu wanaume wanaowasababisha au kupenda wao wavae vile??
Tupe mtazamo wako.Naweka mjadala mezani.
Sishabikii kuvaa kihasarahasara. Nadhani hali ya kuwa na mvuto kwa warembo wa kike ni sehemu ya maisha yao na ni haki yao kulingana na maumbile yao...
 
Umenikumbusha j3 ya kesho naenda ofc fulani ivi lazima nivae kivazi matata niwarushe roho
 
sasa mtawachaguaje wasipotega kidogo, kha! hata kama ningekua mimi kwa sababu sitongozi ila natongozwa. labda kama umeolewa, hata ukiolewa you need to show kwamba na ww umo. Nyi pigeni fasheni. Kipaja kwa mbali ila kisizidi, kimini ila kisiwe kifupi sana. Kigauni kinatoa shepu safiiiiii, ila kisibane mnooo. sio mbaya. that is nature. kwani huyo aliyotoa mada kama ana demu au mke anafikiri bila mvuto angemchagua?
 
Kwani mvuto lazima avae viungo vya kubana au vimini? Au wewe unampenda wa kwako kisa mavazi?
 
Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii zetu nyingi. Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika nyanja mbalimbali za maisha. Kutokana na huu mtazamo, wengi wanaamini kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya maamuzi ya aina yoyote ktk maisha ya kila siku.Tuje kwa upande wa mavazi hasa kwa wadada zetu ambao wengi hudiriki hata kutembea nusu uchi wakidai ni fashion. swali linakuja, kwamba; wanavovaa vile ni maamuzi yao au kuna mtu/watu wenye maamuzi aghalabu wanaume wanaowasababisha au kupenda wao wavae vile?? Tupe mtazamo wako.Naweka mjadala mezani.

mdau yani mavavi yananifanya nishindwe kuelewana na mpenzi wangu yani juzi tu tumegombana yeye anapenda bikini sana nani cpendi awe ivo
 
Duh! Pole sana mkuu.
 
Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea kupumua.Kuna dhana imejengeka sana miongoni mwa jamii zetu nyingi. Dhana yenyewe ni kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana katika nyanja mbalimbali za maisha. Kutokana na huu mtazamo, wengi wanaamini kuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufanya maamuzi ya aina yoyote ktk maisha ya kila siku.Tuje kwa upande wa mavazi hasa kwa wadada zetu ambao wengi hudiriki hata kutembea nusu uchi wakidai ni fashion. swali linakuja, kwamba; wanavovaa vile ni maamuzi yao au kuna mtu/watu wenye maamuzi aghalabu wanaume wanaowasababisha au kupenda wao wavae vile?? Tupe mtazamo wako.Naweka mjadala mezani.

Tena tuombe radhi wewe kijana!!!!!Hizo dhana za karne iliyopitaa!Tafadhali rudi na ututake radhi
 
Back
Top Bottom