Mwanamke anavyovaa ni kwa influence ya nani?

Mwanamke anavyovaa ni kwa influence ya nani?

tunakataa tu lakini ni ukweli ulio wazi kuwa asilimia kubwa ya wanawake mavazi yetu yanakuwa influenced na wanaume, either kwa kutaka attention yao au kwa kumuheshimu yule uliye nae iwapo anapenda uvae mavazi ya aina fulani e.g baibui
 
Nimekupata na pia nakubaliana na wewe.
 
tunakataa tu lakini ni ukweli ulio wazi kuwa asilimia kubwa ya wanawake mavazi yetu yanakuwa influenced na wanaume, either kwa kutaka attention yao au kwa kumuheshimu yule uliye nae iwapo anapenda uvae mavazi ya aina fulani e.g baibui

True. Wanawake wengi wanavaa kwa influence ya wanaume. Wanapenda kuvaa kiutata kwa ajili ya kuwakoga wanaume na kusifiwa. Ndio maana utaona kuta nyingi za kitabuuso za wanawake huchafuka kwa picha kila siku.

Lakini pia hufanya hivyo kwa tabia zao dhaifu za kupenda kuigana mitindo. Ikitokea mwanamke kavaa nusu uchi akasifiwa na wanaume wakware, utakuta kesho wanawake wengine 10 wamemuiga. Hii yote ni kwa sababu zaidi ya 90% ya wanawake wana akili za kushikiwa. Bila ya kuendeshwa kwa REMOTE hawaendi kabisa.
 
Nifafanunulie wewe.

Udhaifu ni kitu cha kimoyo, na kinguvu.

Mfano mwanamke akipigana ngumi na mwanaume, udhaifu wa mwanamke nguvu hana.

Mwanamke ni mtu mwenye huruma na mwepesi kuamini mtu, ni rahisi kulaghaiwa. Huu udhaifu wake wa kimoyo.

Uamuzi. Yaani kuamua juu ya maisha yako. Ufunge ndoa na nani, uishi wapi, uzae watoto wangapi, upate elim gani, uvae nini, kipato chako kiwe vipi nk. Uishi nyumba ya aina gani, nk.

Wazazi, jamaa, marafiki, mazingira, serikali na dunia inanafasi kubwa kukuamulia. Mtu yeyote hawezi kujiamulia kila kitu yeye mwenyewe.

Kama mwanaume na unajiamulia utakavyo basi chinja mtu au kaibe huku watu wakikuona. Hapo ndio utajua mazingira ndio yanakuamulia uishi vipi.
 
True. Wanawake wengi wanavaa kwa influence ya wanaume. Wanapenda kuvaa kiutata kwa ajili ya kuwakoga wanaume na kusifiwa. Ndio maana utaona kuta nyingi za kitabuuso za wanawake huchafuka kwa picha kila siku. Lakini pia hufanya hivyo kwa tabia zao dhaifu za kupenda kuigana mitindo. Ikitokea mwanamke kavaa nusu uchi akasifiwa na wanaume wakware, utakuta kesho wanawake wengine 10 wamemuiga. Hii yote ni kwa sababu zaidi ya 90% ya wanawake wana akili za kushikiwa. Bila ya kuendeshwa kwa REMOTE hawaendi kabisa.
Ukimwambia vaa hv as her boyfrnd au husbnd anavaa. That is an influence.
 
Mentality ya mwanamke siku zote inawaza mwonekano/appearence!
Mwanamke anatumia masaa mengi kupanga mwonekano wake wa siku!
 
Ukimwambia vaa hv as her boyfrnd au husbnd anavaa. That is an influence.

si hivyo tu hata kule kusifiwa na mtu yeyote kwamba 'UNAPENDEZA' ni influence. Na kwa kuwa akili zao ni za kushikiwa, wakishasifiwa hata kwa jambo la kipumbavu, basi huvimba vichwa.
 
Mwanaume ni dhaifu sana kwani mwanamke anaweza kukufanya ukasahau kila kitu hapa duniani
 
Hivi mwanaume anavyoacha hela mezani huwa anasema leo mnunue kitu fulanonkwa ajaili ya chalula
 
Mazingira na malezi ndo yanamfanya mwanamke avae nusu uchi au kuwa mstaarabu

Na dhana ya mwanamke kuwa ni kiumbe dhaifu kwa siku hizi siiamini kama ipo
 
si hivyo tu hata kule kusifiwa na mtu yeyote kwamba 'UNAPENDEZA' ni influence. Na kwa kuwa akili zao ni za kushikiwa, wakishasifiwa hata kwa jambo la kipumbavu, basi huvimba vichwa.
kwanza kabisa sio wanawake wote ambao wana akili za kushikiwa hiyo ni kwa baadhi tu
pili sio lazima influence iwe negative wapo ambao wanakuwa influence kuvaa vizuri tu kutoka mavazi mabaya waliyokuwa wanavaa mwanzo
tatu kwa mavazi hata wanawake pia tuna influence kwa wanaume
 
Wanaovaa nusu uchi ni kwa influence ya wanaume pia ni hulka zao zimependa hvyo,pia kuna wengine ni kwa ulimbuken wao kuiga mambo ya kigeni.
 
si hivyo tu hata kule kusifiwa na mtu yeyote kwamba 'UNAPENDEZA' ni influence. Na kwa kuwa akili zao ni za kushikiwa, wakishasifiwa hata kwa jambo la kipumbavu, basi huvimba vichwa.
kwanza kabisa si wanawake wote ambao akili zao ni za kushikiwa
pili unaongelea influence in a negative way tu lakini wakati mwingine mtu anakuwa influenced kuacha mavazi mabaya na kuanza kuvaa vizuri
tatu kwa mavazi tu hata wanaume pia wanakuwa influenced na wanawake
 
Mwanaume ni dhaifu sana kwani mwanamke anaweza kukufanya ukasahau kila kitu hapa duniani

Watu mpk wanasahau mama zao wazazi kisa mwanamke. Mtu anahangaika na maisha pesa akiipata anaenda kuhonga hao wavaa uchi. Kuna viumbe dhaifu dunia hii looi!
 
Back
Top Bottom