HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,141
Maamuzi yao binafsi na wako hivyo linapokuja swala la mavazi kwa wengi wao, hebu chunguza siku moja kama uko sehemu mfano kuna wanawake wengi au kwenye shughuli/sherehe lazima watoleane macho wewe ukiangalia unaona kabisa hapa kuna kawivu fulani.
Na si mavazi tu hata nywele zao za bandia sijui ndio niseme za kubandika hali ni hiyo hiyo kutoleana macho
Na si mavazi tu hata nywele zao za bandia sijui ndio niseme za kubandika hali ni hiyo hiyo kutoleana macho