Mwe mnatoa ahadi za kweli mana wanaume wengine anaweza kukutajia vitu ambavyo ata hajawah kuvimiliki ili tu akuoeKapewa nyumba ya ghorofa analia haya .wakaka kazi mnayo
HahahaMwe mnatoa ahadi za kweli mana wanaume wengine anaweza kukutajia vitu ambavyo ata hajawah kuvimiliki ili tu akuoe
Wewe ni KibokoIna maana hakuwahi tembelea na kudunguliwa kwny hio ghorofa
Maana inaonekana jamaa n sniper
Issue sio kutoa ahadi ya kwel .... Inakuaje unakubali udanganywe na ww ukubaliMwe mnatoa ahadi za kweli mana wanaume wengine anaweza kukutajia vitu ambavyo ata hajawah kuvimiliki ili tu akuoe
Atajuaje anadanganywa?Issue sio kutoa ahadi ya kwel .... Inakuaje unakubali udanganywe na ww ukubali
Mwe mnatoa ahadi za kweli mana wanaume wengine anaweza kukutajia vitu ambavyo ata hajawah kuvimiliki ili tu akuoe
Wewe unachekeshaMwambie nimempangisha muhindi babe!relax
Aisee