Mwanamke anapolilia nyumba ya ghorofa mpe

Mwanamke anapolilia nyumba ya ghorofa mpe

Mie wa kwangu nilimdanganya kuwa nina banda la chipsi, ikawa ndo kila siku anataka chipsi. Nilikoma.
 
Kulilia haisaidii,cha muhimu ni kuweka mikakati ya kufikia hilo hitaji
 
Mbona ni kweli hiyo nyumba ni ya Ghorofa moja!. Au alitakaje?
 
Back
Top Bottom