miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
CC: cacico, Lisa, Nivea, BADILI TABIA, King'ast, Karucee, miss chagga, miss wa kinyaru, Ennie, gfsonwin, Preta, MwanajamiiOne, Husninyo, Mamndenyi, lara 1
Bado hujanionyesha mahali ambapo panaonyesha kwamba Eva au Hawa alimhadaa Adam, hapo panasema tu kwamba alimpa mumewe naye akala, hata hivyo Adama alikuwa na uwezo wa kukataa kula na kumkumbusha eva kwamba tulikatazwa kula huo mti wa katikati. Kumbuka hapa sizungumzii swala la Eva kutangulia kula tunda bali napinga kusingiziwa kumhadaa Adam au kumshawishi kama tulivyoaminishwa.
Lakini pia Mungu alimuumba Adam na ndipo akamuumba Eva kutokana na ubavu wa Adam, kama maandiko ya hizo dini mbili maarufu hapa nchini yanavyosema, na pia maandiko hayo yanasema kuwa huyu Adama ni kichwa cha nyumba, yaani ndiye kiongozi, sasa kwa kuwa kiongozi si alipaswa kumuongoza Hawa au Eva. Sasa ilikuwaje akapewa tunda ambalo waliambiwa wasile yeye akajitwalia na kula bila kukataa na kumkataza Eva au Hawa akiwa kama kiongozi wake?
Afu adam angekuwa na akili walau ya kuomba msamaha dirctly labda yangeishia hapo. Ila kajiteteeeeeaaa utadhani mtoto mdogo.
Na ndo kosa wanaume wengi wanafanya. Wakati mkeo kakubamba na kitu ama amehisi kitu ambacho moyoni unajua kabisa ni kweli, unakiwa mkali. Hapo unamuongezea udadisi. But in real sense ungejiwahi na apologies na kubadili strategy ungejilia za wizi hadi zikukwame kooni bila bughudha. Viazi cherema!
Basi ngoja niwaite na akina charminglady, Kaunga, Arabela, snowhite Lady doctor, ladyfurahia, Fixed Point na Kongosho
Śasa nyie km mnajua mwanaume rijali hana la kusema mbele ya K, kwani mnatutega na vipaja vyenu nje nje? Afu tukiwachomekea wala hamkatai kudadadeki. Amin amin nakuambia mwanaume rijali hana mswalie Mtume mbele ya K. yuko tayari kuikosa mbingu kuliko kuikosa k.
Sasa kaEva kalimtegeshea Adam kalitegemea jamaa asuse afu aanze kuimba kwaya?
Kama adam na Hawa hawana makosa, nini maana ya sisi binadamu kuwa na dhambi ya asili. Na kwa nn tule kwa jasho na kuzaa kwa uchungu. Ni kwa nn tufe.
Kuuliza swali ni rahisi sana
Lakini kuna mabo mawili ni magumu sana wakati unakuwa unauliza swali
Mambo hayo ni haya;
Lengo la kuuliza swali,yaani kujua swali lako linataka ujue nini
Mahusiano ya swali na mada husika
Nimeshindwa kabisa kuona swali lako lengo lake nini
Pia nimeshindwa kabisa kuona mahusiano ya swali lako na mada husika na zaidi sana faida ya jibu la swali lako
Unaweza kunisaidia hayo?
swali langu hasa lilikuwa ni kwamba, kwanini shetani hajidhihirishi na kuonekana wazi?
kwanini iwe roho?
yaani mwanangu Zinduna hapa umeoongea kabisa na umenifurahisha kabisa
nimequote:
Ukweli ni kwamba hakuna kwenye vitabu vyote viwili vya hizi dini zetu maarufu hapa nchini ambapo kuna mahali panaonyesha kuwa mwanamke ndiye chanzo au aliyelaanika kwa kumlaghai Adam kula tunda la mti wa katikati. Ni tafsiri tu iliyotengenezwa ili kuupa nguvu mfumo dume na kumkandamiza mwanamke.
but maandiko yanasema nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwituni aliowaumba bwana mungu, sasa kama imeandikwa inabidi uamini tu kwani hata kuuelezea uerevu wa nyoka nadhani itakupa shida, istoshe unayo knowlege limited kuhusu nyoka, kuna cobra, chatu, anakonda, kifutu, n.k. sidhani kama unaweza kuntajia ni aina ipi kati yao. no waythe truth is hidden, lakini inasemekana kwamba shetani (malaika mkuu mstaafu) alimuingia nyoka na kufanya uovu kupitia yeye!
but siamini kiumbe kama huyu anawezaongea..!
swali langu hasa lilikuwa ni kwamba, kwanini shetani hajidhihirishi na kuonekana wazi?
kwanini iwe roho?
naomba nieleweshwe hapo!
(if am off topic, take it easy!)
Ukweli ni kwamba hakuna kwenye vitabu vyote viwili vya hizi dini zetu maarufu hapa nchini ambapo kuna mahali panaonyesha kuwa mwanamke ndiye chanzo au aliyelaanika kwa kumlaghai Adam kula tunda la mti wa katikati. Ni tafsiri tu iliyotengenezwa ili kuupa nguvu mfumo dume na kumkandamiza mwanamke.