Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Hapo mwisho kwenye red: Kwamba Eva alikula kwanza, then akampa Adam nae akala:

My take: Eva alifanywa kwanza, then baada ya kuexperience Ile ladha ndio akampa na adam. Hii ina manisha Eva alifanya kwanza na mtu mwingine sio Adam. Na Huyo mwingine ni Huyo nyoka, which is Lucifer. Kwa hiyo mwanamke ni msaliti wa enzi. Na ndivyo walivyo hata leo. No matter what

Kwani tunda linalosemwa ni K au ni fruits
 
Hapo mwisho kwenye red: Kwamba Eva alikula kwanza, then akampa Adam nae akala:

My take: Eva alifanywa kwanza, then baada ya kuexperience Ile ladha ndio akampa na adam. Hii ina manisha Eva alifanya kwanza na mtu mwingine sio Adam. Na Huyo mwingine ni Huyo nyoka, which is Lucifer. Kwa hiyo mwanamke ni msaliti wa enzi. Na ndivyo walivyo hata leo. No matter what

Sijui macho yangu yana makengeza!!!! nahisi nasoma kitu kipya kabisa...
 
Kwa hivyo nyoka(nyoka) alilionja akampatia na mwanamke??

Hahaha Hawa ndo alilionja, kwa lugha yangu naona alijipiga dole. Alivoona tyamu akachukua nyoka ya Adam akąchomekamo. Hahahah
 
Utata! katika biblia yatamkwa kwamba matunda ya bustanini ruksa kula kasoro la mti wa katikati.
Swali je matunda ya bustanini ni nini, ambayo ni ruksa kula. Na la mti wa katikati ni nini?
 
Sijui macho yangu yana makengeza!!!! nahisi nasoma kitu kipya kabisa...

Una Hisi unasoma kitu kipya, basi sema ww hilo Tunda linalozungumzwa ni lipi. Kama ni papai au ndizi.

Na anaposema Hawa alikula kwanza then akamshawishi na adam ale ina maanisha nini.
 
Una Hisi unasoma kitu kipya, basi sema ww hilo Tunda linalozungumzwa ni lipi. Kama ni papai au ndizi.

Na anaposema Hawa alikula kwanza then akamshawishi na adam ale ina maanisha nini.

Hawa alilionja, alipöona tamu akampa Adam. Kuonja nadhani inamaanisha alijipiga dole. Alivoona tamu akaangalia mashine ya Adam... akaona isiwe tabu, akaisokomezamo mazima kwa raha zake.
 
swala ambalo linaniwia vigumu sasa ni hili.

kama malaika anaweza kujidhihirisha na kuonekana kwa wanadamu, kwanini shetani yeye hajidhirishi? kwanini aje kwa maumbo ya vitu vingine kama mizimu na viumbe vingine kama nyoka?

Mkuu wapo wanadamu waliomuona na wanaomuona shetani kama ilivyo kwa waliwaona na wanaowaona malaika.

Inategemea tu ni mamlaka ipi ambayo roho yako imejisalimisha.

Hiyo unayoita mizimu n.k ni roho vibaraka tu za shetani na wala sio shetani mwenyewe.
 
Hawa alilionja, alipöona tamu akampa Adam. Kuonja nadhani inamaanisha alijipiga dole. Alivoona tamu akaangalia mashine ya Adam... akaona isiwe tabu, akaisokomezamo mazima kwa raha zake.
Wewe kweli leo umekunywa mbege haki ya mama
 
Hivi hilo tunda ni lipi?ni kitu gani?

Tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya...ni tunda kama yalivyo matunda uyajuayo.

Lipo vipi hakuna ajuaye labda Mungu mwenyewe...
 
Mkuu wapo wanadamu waliomuona na wanaomuona shetani kama ilivyo kwa waliwaona na wanaowaona malaika.

Inategemea tu ni mamlaka ipi ambayo roho yako imejisalimisha.

Hiyo unayoita mizimu n.k ni roho vibaraka tu za shetani na wala sio shetani mwenyewe.

come on! what is simple now?

to see the devil or the Lord?
 
My take: Eva alifanywa kwanza, then baada ya kuexperience Ile ladha ndio akampa na adam. Hii ina manisha Eva alifanya kwanza na mtu mwingine sio Adam. Na Huyo mwingine ni Huyo nyoka, which is Lucifer. Kwa hiyo mwanamke ni msaliti wa enzi. Na ndivyo walivyo hata leo. No matter what

Hivi mkuu unajua utofauti wa kimaumbile baina ya mtu na nyoka?

Haya tuchukulie kwamba Lucifer aliuvaa mwili wa nyoka, je huyo nyoka alitoa wapi maumbile ya uume? (Shetani hana uwezo wa kuumba).

Pia lazima utambue kuwa katika Eden hakujawahi kuishi mtu yoyote zaidi ya Adamu na Hawa, sasa sijaelewa katika maandishi hayo mekundu umemtoa wapi huyo mtu wa tatu.
 
come on! what is simple now?

to see the devil or the Lord?

Never did I say it's simple...

Nimeandika inategemea roho yako umeisalimisha katika mamlaka ipi (Mamlaka ya Nuru au Giza)...

Kumbuka mwanadamu kapewa uhuru wa nafsi wa kuamua ni mamlaka ipi waisalimisha roho yako...

Hivyo wapo wanao au waliomuona shetani (Lucifer) pia wapo waliopata neema ya kuwaona malaika...

Kumbuka kisa cha Yakobo kupigana na malaika, Lutu alitembelewa na malaika na malaika hao waliwasindikiza kutoka Sodoma, Mariamu mama wa Yesu na umbu wake walipata kumuona malaika hivyo usishangae ipo mifano mingi tu.
 
Ni bora kwenye mjadala wako huu usingetaja hivyo vitabu na ungeujenga kisasa zaidi

Kitendo chako cha kuvitaja hivyo vitabu inaonekana umeshindwa kuvielewa au unaelewa lakini una ajenda yako tu

Vitabu vimezungumza kwa lugha rahisi kabisa na kama umeshindwa kuelewa utakuwa una tatizo la kuelewa!
 
Back
Top Bottom