Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Afu ka kasichana kenzako kanaitwa Zinduna kanabiśha eti Eva si wa kubebeşhwa lawana. Kama si tamaa aka nyege za Eva, Adam aśingekulamo naniliu. Kalimsedyuz braza wetu hako kaEva.

Hujanielewa! sijasema Eva abebeshwe lawama, najaribu kukuonyesha ni jinsi gani wanaume mmezoea kuwalaumu wengine kwa kushindwa kwenu kufikiri, na kufanya maamuzi sahihi, na kwa udhaifu wenu wenyewe. mwisho wa siku lazima mtafute wa kumbebesha mizigo ya lawama.

my point is "try to take responsibilities for your own actions", msitulaumu wanawake. hata wakati wa Adamu na Eva, mwanaume hakulazimishwa kula tunda, alikula huku akiwa na ufahamu wake na akijua madhara yote yanayoweza kumpata, lakini bado alikula.
je bado unataka kutulaumu kwa nyie kuwa weak mnapokuwa na sisi?
C.C Zinduna
 
Last edited by a moderator:

Śasa nyie km mnajua mwanaume rijali hana la kusema mbele ya K, kwani mnatutega na vipaja vyenu nje nje? Afu tukiwachomekea wala hamkatai kudadadeki. Amin amin nakuambia mwanaume rijali hana mswalie Mtume mbele ya K. yuko tayari kuikosa mbingu kuliko kuikosa k.

Sasa kaEva kalimtegeshea Adam kalitegemea jamaa asuse afu aanze kuimba kwaya?
 
Last edited by a moderator:
Nifahamuvyo mimi ni kuwa baada ya wote wawili kufunguliwa ufahamu wa kujua mema na mabaya baada ya kula tunda, walifahamu wamekosea hivyo KILA MMOJA AKATAFUTA PA KUTUA LAWAMA ZAKE, ADAM AKAMLAUMU HAWA NA HAWA AKAMLAUMU NYOKA. Ikiwa Hawa alikuwa wa kwanza kula ni dhahiri kuwa alimtumbukiza mwenzake hatiani, lakini kwa kufikiri, kama ADAMU alikuwa anayafahamu (kwa kuwa alijua matunda ya miti yote, wanyama na ndege) na anajua amekatazwa, asingekula
 
Unajua watu wengi hujichanganya hapa na kutaka kuaminisha akili zao kinyume...

Mungu aliyetoa agizo la mtu mume na mtu mke wazae, waongezeke na wakaijaze nchi iweje Mungu huyo huyo aone ni dhambi kwa Adamu na Hawa kufanya ngono...

Tunda linalotamkwa sio uke wa mwanamke, hakuna mahali maandiko ya Mungu yakapindisha tafsiri sahihi, uke utaitwa uke uume utaitwa uume na tunda litaitwa tunda.
DUh afadhali umenisaidia manake nilikua naona kama mjadala umekua kama umeelekea kwingine. :focus:
 
hv tunda la katikati huwa n nin au ndo lugha ya picha
 
....Sasa ndugu zangu tujiulizeni jambo moja muhimu,kama angekua hawajala hilo tunda la katikati,mimi na wewe leo tungekuwepo?mimi naona Mwenyezi Mungu alikua na makusudio yake na hekima yake ilyovuka mpaka ndio maana hata Nabii Adam alivyoomba toba kwa Mola wake kwa hilo kosa alilofanya Mwenyezi Mungu akamsamehe,kwa sababu hio uwezo wa Mola umetimia,so ki-mantiki mwanamke (Eve)hana kosa wala nabii Adam hana kosa.

Kama adam na Hawa hawana makosa, nini maana ya sisi binadamu kuwa na dhambi ya asili. Na kwa nn tule kwa jasho na kuzaa kwa uchungu. Ni kwa nn tufe.
 
nataka kujua ni jinsia gani inaconvincing power kiasi cha kumconvince Hawa kula tunda, na pia tujue isije tukawa tunalaumu wanawake ilhali huyo nyoka alikuwa kidume,

Okay,

Jinsia ya nyoka haina msaada wowote maana nyuma ya pazia sio nyoka aliyewadanganya Adamu na Hawa bali shetani.
 
kwa hiyo unatamka kusema nyoka anayezungumzwa ni the african snake anayekaa kwenye pants na boxer???

the truth is hidden, lakini inasemekana kwamba shetani (malaika mkuu mstaafu) alimuingia nyoka na kufanya uovu kupitia yeye!

but siamini kiumbe kama huyu anawezaongea..!

Emerald%2BTree%2BBoa.jpg
 
Sina uhakika kama umeisoma vizuri Biblia, maelezo yako yana walakini kidogo.

Nitarejea...

Wanaume na sisi ni viazi....unapewa kitu cha wizi nawe unakula? Kisha unamlaumu mwizi....in any case adam alikua kiazi....tena kuazi kitamu...
 
Afu adam angekuwa na akili walau ya kuomba msamaha dirctly labda yangeishia hapo. Ila kajiteteeeeeaaa utadhani mtoto mdogo.

Na ndo kosa wanaume wengi wanafanya. Wakati mkeo kakubamba na kitu ama amehisi kitu ambacho moyoni unajua kabisa ni kweli, unakiwa mkali. Hapo unamuongezea udadisi. But in real sense ungejiwahi na apologies na kubadili strategy ungejilia za wizi hadi zikukwame kooni bila bughudha. Viazi cherema!

Kutokuomba msamaha adam iliharibu kabisa.....

Sasa hili la kukubali kosa na kuwaomba wanawake msamaha.....teh teh....
Yaani kuweka kichwa kwenye gogo kusubiri huruma ya mwenye shoka?
 
Mimi nafikiri vitu vingine vilipangwa tu vitokee kwa sababu Mungu alikuwa na uezo wa kutokuweka huo mti wa kati kati na maisha yakaendelea smoothly bila mikwaruzo.

Kitu kingine ambacho sielewi, kama tunda linaloongelewa hapa ndio hili tunaloaminishwa ndilo, kwa nini kwenye muendelezo wa vitabu vingine ndani ya biblia lugha hii ikabadilika? Unakuta sehemu imeandikwa ...fulani akamjua mkewe na mkewe akapata mimba...
 
Afu adam angekuwa na akili walau ya kuomba msamaha dirctly labda yangeishia hapo. Ila kajiteteeeeeaaa utadhani mtoto mdogo.

Na ndo kosa wanaume wengi wanafanya. Wakati mkeo kakubamba na kitu ama amehisi kitu ambacho moyoni unajua kabisa ni kweli, unakiwa mkali. Hapo unamuongezea udadisi. But in real sense ungejiwahi na apologies na kubadili strategy ungejilia za wizi hadi zikukwame kooni bila bughudha. Viazi cherema!

Tena yakibambwa ndio kabisaa...ooh shetani alinipitia! Wameishia kukremu kitabu cha Mwanzo, hasa tukio la hapo bustanini mwanzo mwisho...
 
Wanawake wasingekuwepo duniani, shida na dhambi nyingi zingepungua. Ila ukweli ni kuwa tungemisi kitu kimoja kitamu sana. Wanawake wamesababisha watu wasimwogope Mungu. Ni rahisi sana kumsaliti Mungu kwa sababu ya utamu wa Mwanamke.

Mi penda sana utamu wa mwanamke. Hakika wanawake ndo watanipeleka motoni. Dhambi nyingine ni rahisi sana kwangu kuzikwepa, isipokuwa ile ya utamu wa mwanamke asiye mke wangu.

Kwa kweli dhambi hii hata majogoo na mabeberu hawaikwepi.

Mungu atusamehe tu, manake utamu wenyewe kausababisha yeye.

Amina.

Kwa hiyo comment kama wewe ni mkristo ukaungame.
 
Afu adam angekuwa na akili walau ya kuomba msamaha dirctly labda yangeishia hapo. Ila kajiteteeeeeaaa utadhani mtoto mdogo.

Na ndo kosa wanaume wengi wanafanya. Wakati mkeo kakubamba na kitu ama amehisi kitu ambacho moyoni unajua kabisa ni kweli, unakiwa mkali. Hapo unamuongezea udadisi. But in real sense ungejiwahi na apologies na kubadili strategy ungejilia za wizi hadi zikukwame kooni bila bughudha. Viazi cherema!
ahahahahahaha unanidai nyama choma!!
 
Kimsingi wanyama wote wana lugha na kwa namna Mungu alivyomuumba mtu wa kwanza ambaye ni Adamu, alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na kila mnyama hivyo suala la nyoka kuongea na Adamu wala lisikushangaze.

Pili, shetani ni roho yaani hana mwili.
Ili kutimiza lengo lake la kupotosha uumbaji wa Mungu, alitumia mwili wa nyoka "vessel" ili apate kuongea na mtu (Hawa).

Hivyo kwa jinsi ya mwili ni nyoka aliyekuwa akiongea lakini kwa jinsi ya roho ni shetani aliyekuwa akionge.

nakupendaga mtani ukiamua kuzama kwenye makitu ya kiimani!!
big up oooooooh!!!
 
nakupendaga mtani ukiamua kuzama kwenye makitu ya kiimani!!
big up oooooooh!!!

Hahah!!

Mtani asante sana, unajua mwanzoni nilikuwa mdadisi sana wa kitabu cha Mwanzo, uumbaji wa Mungu ikanifanya nisome sana na kupata kuelewa.

So far katika Biblia ukielewa kitabu cha Mwanzo na Ufunuo wa Yohana, maisha huwa marahisi sana...
 
Back
Top Bottom