Kwani tunda linalosemwa ni K au ni fruits
Kuuliza swali ni rahisi sanaahsante mkuu kwa maelezo mazuri!
swala ambalo linaniwia vigumu sasa ni hili.
kama malaika anaweza kujidhihirisha na kuonekana kwa wanadamu, kwanini shetani yeye hajidhirishi? kwanini aje kwa maumbo ya vitu vingine kama mizimu na viumbe vingine kama nyoka?
Utata! katika biblia yatamkwa kwamba matunda ya bustanini ruksa kula kasoro la mti wa katikati.
Swali je matunda ya bustanini ni nini, ambayo ni ruksa kula. Na la mti wa katikati ni nini?
Sijui macho yangu yana makengeza!!!! nahisi nasoma kitu kipya kabisa...
Kimsingi wanyama wote wana
lugha na kwa namna Mungu alivyomuumba mtu wa kwanza ambaye ni Adamu,
alikuwa na uwezo wa kuwasiliana na kila mnyama hivyo suala la nyoka
kuongea na Adamu wala lisikushangaze.
Pili, shetani ni roho yaani hana mwili.
Ili kutimiza lengo lake la kupotosha uumbaji wa Mungu, alitumia mwili wa
nyoka "vessel" ili apate kuongea na mtu (Hawa).
Hivyo kwa jinsi ya mwili ni nyoka aliyekuwa akiongea lakini kwa jinsi ya
roho ni shetani aliyekuwa akionge.
Leo ni siku ya kuabudu kwani hujui?
Unajua watu wengi hujichanganya hapa na kutaka kuaminisha akili zao kinyume...
Mungu aliyetoa agizo la mtu mume na mtu mke wazae, waongezeke na wakaijaze nchi iweje Mungu huyo huyo aone ni dhambi kwa Adamu na Hawa kufanya ngono...
Tunda linalotamkwa sio uke wa mwanamke, hakuna mahali maandiko ya Mungu yakapindisha tafsiri sahihi, uke utaitwa uke uume utaitwa uume utaitwa uume na tunda litaitwa tunda.
na huyo nyoka alikuwa na jinsia gani?
Hapa umesema KWELI KABISA
watu wengi sana huelewa kinyume chake.
Kuna mambo mawili unayachanganya hapa
Kuna jambo au kitu kuwa tata
Na kuna mtu kuwa mtata
Kwenye suala la bibla sio kweli kuna utata
Bali wewe ndio mwenye huo utata
Biblia iko wazi kabisa na najua unajua bustani inakuwa na vitu gani
Kama unajua kwanini uone kuna utata?
Suala la matunda fulani kuwa sawa na lingine kutokuwa sawa mbona biblia imeweka wazi kabisa?
Biblia imesema kuwa tunda hilo ni la ujuzi wa mema na mabaya
Na Mungu aliona kuwa hatustahili kujua mema na mabaya
Utata ni upi hapo?
Au husomi mwenyewe unapigiwa story na watu tu?
na huyo nyoka alikuwa na jinsia gani?
Acha ubishi. Tunda ni K. ndo maana baada ya kugegedana wakaficha nyuchi zao maana zilikuwa zimeloa. hahahah na ukame alokuwa nao Adam naona alimwagiamo kama glasi mbili hivi.
Hapo mwisho kwenye red: Kwamba Eva alikula kwanza, then akampa Adam nae akala:
My take: Eva alifanywa kwanza, then baada ya kuexperience Ile ladha ndio akampa na adam. Hii ina manisha Eva alifanya kwanza na mtu mwingine sio Adam. Na Huyo mwingine ni Huyo nyoka, which is Lucifer. Kwa hiyo mwanamke ni msaliti wa enzi. Na ndivyo walivyo hata leo. No matter what
Tukujua hili litatusaidia nini??
Hapana mkuu. Quran inasema, adam aliambiwa usiukaribie mtii huu, ni MTI mkuu na alikua fruit ila hatujiu ni tunda gani. Kama tunda lilikua ni K mbona walipokuja duniani waliendelea kula "tunda" unalosema wewe? Ingekua ni hivyo basi asingerudia hiyo dhambi yakula "tunda"