Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Mwanamke anapobebeshwa yasiyomuhusu!

Zinduna hata wewe nawe pia unanidanganya Adam hapa
 
....Sasa ndugu zangu tujiulizeni jambo moja muhimu,kama angekua hawajala hilo tunda la katikati,mimi na wewe leo tungekuwepo?mimi naona Mwenyezi Mungu alikua na makusudio yake na hekima yake ilyovuka mpaka ndio maana hata Nabii Adam alivyoomba toba kwa Mola wake kwa hilo kosa alilofanya Mwenyezi Mungu akamsamehe,kwa sababu hio uwezo wa Mola umetimia,so ki-mantiki mwanamke (Eve)hana kosa wala nabii Adam hana kosa.
 
ukiangalia kwa mtazamo mwingine, mpaka leo wanawake wana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wanaume.
mwanaume hata akiwa powerful kiasi gani akikutana na mwanamke ampendae anakuwa mdogo kama Asprin, na akili za kufikiria yeye mwenyewe zinapotea kwa muda, huwa zinakuja baadae kama ilivyokuwa kwa Adam.

pia mpaka leo mkifanya makosa huwa mnasingizia wengine kama Adam... wanaume wengi wakifeli kimaisha wanasingizia wake zao

that's woman power, ndio maana mkiambiwa baby pesa ya saloon kilo moja tu, mnatoa tu potelea mbali hata kama we mwenyewe ukilala na njaa. halafu baadae mnalalamika wanawake wanawachuna wkt hela ulitoa bila kushukiwa bastola

If women didn't exist, all the money in the world would have no meaning.
Aristotle Onassis

CC: Asprin.

Yaani venine umenifuahisha kama nini, nakupa five my dear
 
Ndivyo biblia imetanabaisha kuwa tunda la mti wa katikati kwamba kuwa mjuvi wa mema na mabaya,
na ndilo lililokatazwa.
Je hayo ya bustanini yalo kuwa ruksa ni yepi?

Mengine yote ......!!!!!!!
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba zamani nyoka alikuwa anaongea?

we huoni kwamba kuna lugha ya picha hapo?

Sio hivyo tu hata miguu alikua nayo ....!!!!!!!!
 
CC: Asprin.

Yaani venine umenifuahisha kama nini, nakupa five my dear

Sasa ulichokuwa unabiśha niní. Eva ndo wa kubebeshwa lawama, sio Adam. Eva alikuwa laghai tena śhakubimbi. Kaleta matatizo yote duniani sababu ya nyege zake.
 
thanx my ndugu ni kifungu kipi cha bible kinasema nyoka alikuwa ni ke? maana wengine hatuijui vizuri bible

Haina haja ya kuandikwa hiyo. Ule ulaghai alioufanya automakikale wajanja tunakonkludi nyoka alikuwa demu.
 
huu mjadala una hatari yake, bila upako hapa kuna kupotoshana
 
ukiangalia kwa mtazamo mwingine, mpaka leo wanawake wana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wanaume.
mwanaume hata akiwa powerful kiasi gani akikutana na mwanamke ampendae anakuwa mdogo kama asprin, na akili za kufikiria yeye mwenyewe zinapotea kwa muda, huwa zinakuja baadae kama ilivyokuwa kwa Adam.

pia mpaka leo mkifanya makosa huwa mnasingizia wengine kama Adam... wanaume wengi wakifeli kimaisha wanasingizia wake zao

that's woman power, ndio maana mkiambiwa baby pesa ya saloon kilo moja tu, mnatoa tu potelea mbali hata kama we mwenyewe ukilala na njaa. halafu baadae mnalalamika wanawake wanawachuna wkt hela ulitoa bila kushukiwa bastola

If women didn’t exist, all the money in the world would have no meaning.
Aristotle Onassis

Afu ka kasichana kenzako kanaitwa Zinduna kanabiśha eti Eva si wa kubebeşhwa lawana. Kama si tamaa aka nyege za Eva, Adam aśingekulamo naniliu. Kalimsedyuz braza wetu hako kaEva.
 
Last edited by a moderator:
Haina haja ya kuandikwa hiyo. Ule ulaghai alioufanya automakikale wajanja tunakonkludi nyoka alikuwa demu.

hmmm nazidi kuchanganyikiwa yaani demu anamdanganya demu mwenzake? ingekuwa ni hivyo sijui kama tungesalimika
 
Hahaha!!

Kuna raia mna maswali khaaa!! mkuu hakuna mahali palipoandikwa jinsia ya huyo nyoka.

Ulikuwa unataka kuibua hoja gani hapa?

nataka kujua ni jinsia gani inaconvincing power kiasi cha kumconvince Hawa kula tunda, na pia tujue isije tukawa tunalaumu wanawake ilhali huyo nyoka alikuwa kidume,
 
kwa hiyo unataka kutuambia kwamba zamani nyoka alikuwa anaongea?

we huoni kwamba kuna lugha ya picha hapo?
kwa hiyo unatamka kusema nyoka anayezungumzwa ni the african snake anayekaa kwenye pants na boxer???
 
Back
Top Bottom