Mwanamke ameniibia pesa na kuficha kwenye makalio yake

Mwanamke ameniibia pesa na kuficha kwenye makalio yake

Teh Teh Teh Hahahahahahahahaahahahahahahhahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahha Niiiiiiisheeeeeeeeedaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Bot waongeze kumwagia marashi kwenye hela zetu, maana huwaga zinafichwa mbali
 
Bot waongeze kumwagia marashi kwenye hela zetu, maana huwaga zinafichwa mbali

ile movie mkuu siku ile ilikuwa tamu, huwezi amini katikati ya makalio mzigo umetulia tuli
 
Usirudie mkuu achana na mabonge nyanya hata vimbaumbau wako poa kwa bed au ile kitu unapenda kufanya mto

mkuu vimbaumbau hawanipi stimu, nikipiga kimoja ndiyo nitolee stimu inarudi tena kwake after 1 week, hawa mabonge maumbile yao makubwa kila sehemu hasa maeneo ya kati kitu inafanya kila nikimtizama ngoma inainuka tena, unaweza kwenda raundi 5 for 2 hours. Vimbaumbau wachukuliwe na wanaume wenye matumbo makubwa
 
Ngoja siku atakapo kuiba wewe akufiche humo kwenye makalio ndipo akili itakapokukaa sawaa na kuacha kuzini ovyo!

mimi sio mzinzi ila nilizidiwa tu, najìheshimu sana mkuu halafu mabonge ndiyo starehe yangu, hawa vimbaumbau kwenye bed mizinguo tu labda kutoka nao out tu kwa ajili ya show mtaani
 
kuna Wadada wajasiriamali asee

Mkuu we acha watu wabunifu aisee, wachina wanabuni dawa za kuongeza makalio ila wabongo wanabuni namna ya kutumia hayo makalio kupata pesa
 
mkuu vimbaumbau hawanipi stimu, nikipiga kimoja ndiyo nitolee stimu inarudi tena kwake after 1 week, hawa mabonge maumbile yao makubwa kila sehemu hasa maeneo ya kati kitu inafanya kila nikimtizama ngoma inainuka tena, unaweza kwenda raundi 5 for 2 hours. Vimbaumbau wachukuliwe na wanaume wenye matumbo makubwa

Aha hahahaha watatuua bana.
 
Lakini hukutenda haki ungempa hata 50000 umepata pesa zako pia umefaidi mzigo .

Lengo langu baada ya mechi nimpatie elfu 20 sio mbaya mana alikunywa bia za kutosha na nyama choma kama ujuavyo mabonge wanavyokula sana. Kile kitendo cha kuficha pesa zangu kwenye mkun¤ndu kilinikera sana, bora angeficha laki nyingine aniachie ya kuanzia maisha kesho. Yeye kakomba zote kwenye wallet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom