Mwanamke ameniibia pesa na kuficha kwenye makalio yake

Na hela yenyewe ilikuwa ndo hiyo hiyo, ndo mana akili ilicharge fasta, hongera
Noooop !, pesa nyingine ilikuwepo kwenye akaunt ya bank na simu pia ila kilichonishangaza ni mazingira ya pesa ilivyopotea, kama nisingefanikiwa kuzipata basi leo hii ningeamini kweli uchawi upo
 
Jamani hakuingiza kwenye tundu la mkund*u, alizibana katikati ya matako yake maana ana mzinga wa matako halafu umetepetela

kwakuwa alikuwa na makalio makubwa halafu alizibana, lazima particles za pale tunduni zitakuwa zimesambaa, hivyo hizo pesa hazikuwa salama

by the way, umenifurahisha sana, kumbe kuna watu wa ajabu sana
 
kwakuwa alikuwa na makalio makubwa halafu alizibana, lazima particles za pale tunduni zitakuwa zimesambaa, hivyo hizo pesa hazikuwa salama

by the way, umenifurahisha sana, kumbe kuna watu wa ajabu sana

Pesa hazikua salama? Kwani hazikua na namba mkuu
 
Hawa wanawake wa mjini hatari, wamefikia hatua ya kugeuza mk*ndu pochi kweli?
 
Hizo hela hazijatoka na uchafu? ulizishika kwa leso au kwa kuwa ni hela ukashika na mikono?

tukumbuke kunawa mikono kila mara tunaposhika pesa
Boss wallah nimecheka mpaka shogangu ananambia alokuchekesha amekugusa ndipo, sasa Mkuu ulitaka ashike na tissue huo mda ukoo? lol
 
Lakini hukutenda haki ungempa hata 50000 umepata pesa zako pia umefaidi mzigo .
 
Habari wakuu,

Kweli dunia ina mambo, huwa napenda sana wadada wenye makalio makubwa kiukweli huwa nawafaidi sana tena sana ila wikiend ya juzi niliona maajabu maana sikutegemea kitu kama hicho labda kama imewahi kuwatokea wengine au ndiyo mtindo wa mjini siku hizi na mie mshamba.

Ilikuwa hivi kuna dada mmoja mtaani kwetu kiukweli amejaaliwa kuwa na makalio makubwa halafu mrefu wastani na kitu white na akipita sehemu kama wewe kweli mwanaume unasimamisha lazima umtizame na kumvutia picha ya mbali. Nilianza kumtongoza kitambo kidogo na jmosi nilimwalika twende wote Insaji bar ipo maeneo ya kwetu Boko.

Mtoto alikubali na bahati nzuri naye anatumia kileo, tukapiga bei zetu kadhaa huku namwomba mgegedo kiaina, kwa kuwa alikuwa ameanza kulewa ikawa rahisi kunikubalia, nikalipia gest na mambo mengine yakaendelea.

Baada ya mgegedo kuisha akaenda kuoga kisha nikafuata mimi kuoga nikiwa na taulo tu huku nimeacha trouser ina wallet na ndani kulikuwa na laki 2 kamili noti za elfu 10. Nilikuta yeye ameshamaliza kuvaa anasubiri nami nivae ili tusepe, nilipomaliza kuvaa nikachungulia wallet ili nimpe pesa ya pongezi kwa kazi aliyonifanyia. kuangalia nakuta empty noti zote zimechukuliwa.

Nilishtuka sana na nilipomuuliza naye akajifanya ameshtuka na akajibu bby hata mie nashangaa labda itakuwa uliangusha kule bar au pale kaunta wakati unalipia chumba, nikamwambia hapana nina uhakika mshiko ulikuwepo wakati naingia, nilijaribu kumpekua lakini nilikosa, tafuta kila sehemu ya chumba ila nilikosa, akajifanya anaanza kulia eti simwamini namwona mwizi.

Nikaenda kuwauliza wale wahudumu nikihisi kwamba labda wakati naoga alichukua kwenda kuficha kwa wahudumu wa gest ila walinijibu hakuna kitu kama hicho na wala hajatoka. Basi nikakata tamaa nikahisi labda majini yamechukua au chuma ulete imefanya kazi, dada wa watu mchozi unamtiririka tu akilia kwa kusingiziwa wizi, mie akili bado inanijia kuwa huyu kachukua mshiko.

Nikamvua nguo kwa kutumia nguvu na nikafanikiwa kumvua mpaka chupi kisha nikamtanua makalio yake ghafla nikaona mzigo umedondoka chini " Tiiiiiiiiii" kitu laki 2 amezikunja kisha kazibana kwenye makalio huku kavaa chupi na tight. Duh !, nilikuwa na hasira ila nilijiskia kucheka mwenyewe.Nikamuuliza kwanini umenifanyia hivi? Akiwa usoni mkavu amejikaza anajifanya hana aibu akajibu bby nilikuwa nakupima tu jamani, ehee yaani mwanaume usitaniwe.

Nikamwambia kuanzi aleo usinijue na wala usinisalimie tena wewe na sikupatiii hata shilingi kumi changudoa wewe. Nikasepa zangu mpaka leo nawaogopa sana hawa wenye makalio makubwa kumbe wanatumia mchina kuyakuza kwa ajili ya kuibia watu, jamani kuweni makini na hawa wanawake.
neither no neither yes
 
Hahaaa hizo pesa zilikua mpya au chakavu kama zilikua chakavu basi huyo demu ana kalio haswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom