Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,384
Hata kwenye pua kama hiyo picha avatar yako anaweza kuficha
Nilikuwa nimechoka, lakini dah nimecheka hadi mbavu zinauma 😀😀😀
Hata kwenye pua kama hiyo picha avatar yako anaweza kuficha
Nilikuwa nimechoka, lakini dah nimecheka hadi mbavu zinauma 😀😀😀
Uzinzi ndiyo kitu gani mkuu ?, mwenzio napata starehe halafu wewe unasema uzinzi ?
unatumia woman ontop position, unakuwa umelalia mtumbo wa jamaa yako na dereva ni wewe
hiyo pesa uliiosha au uliibebaje? mmmm naskia harufu ya mavi hapa
pesaa ni chafu haswaa hizi dollar.. Wamama wa kizambia wakijaga kuzichange ni hatari tupu wanazitoa kwenye papuchi...hizo hela hazijatoka na uchafu? Ulizishika kwa leso au kwa kuwa ni hela ukashika na mikono?
Tukumbuke kunawa mikono kila mara tunaposhika pesa
pesaa ni chafu haswaa hizi dollar.. Wamama wa kizambia wakijaga kuzichange ni hatari tupu wanazitoa kwenye papuchi...
zina nuka au kunukia....???
Hizo pesa zitakuwa zina nnya, Ila katika pesa (noti) chache za nchi mbali mbali ambazo nimewahi kuziona duniani, hakuna pesa chafu kama za Tanzania. Huyu mwingine aliiba saa na kuificha ndani ya papuchi.
http://www.nydailynews.com/new-york...rist-rolex-vagina-officials-article-1.1983589
Kuna mbinu nyingine nimegundua nahisi nitakuwa natumia, unamvizia ameenda chooni unachukuwa nguo yake au pochi yake kisha unaweka mzigo mle, baada ya mechi unamwambia samahani kuna mzigo wangu niliweka kwako naomba nichuke, atabaki mdomo wazi
haya matukio ya kuficha vitu kwenye papuchi yanatokea sana.....nakumbuka wakati.nasoma kuna mwanafunzi mwenzetu alishawahi kuficha simu kwenye papuchi........
Mmmmh hadi simu jamani!!! najaribu kufikilia anavoiweka uko loo!!
hiyo pesa uliiosha au uliibebaje? mmmm naskia harufu ya mavi hapa