Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,071
Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge hapo kabla.

Yaani, mwanamke aliyewahi kuwa mbunge (ama wa kuchaguliwa, kuteuliwa na rais au viti maalum) unamuona tena akipambana kurejea bungeni kwa kiti maalum!

Nitaweka mifano michache hapa ya wanasiasa ambao walishawahi kuwa wabunge lakini baadaye wakarejea au wakataka kurejea bungeni kwa ubunge wa viti maalum.

1. Halima Mdee
2. Ritha Mlaki
3. Esther Bulaya
4. Dr. Asharose Migiro
5. Esther Matiko
6. Balozi Mula Mula
7. Kaboyeka
8. Angela Kairuki
 
Viti maalumu vinabidi kufutwa ni ujinga kuibebesha Serikali mzigo .

Lengo la kuwepo kwa viti maalumu lilikuwa ni kuwapa wanawake nafasi ya kiungozi kipindi ambacho walikuwa hawapewi priority .

Sasa Leo hii viti maalumu Vya nini tena ikiwa wanawake wanapewa Equal chance.
 
Ni huzuni mkuu,,,ukiuliza km hv utaitwa mchocheziii 🤔🤔🤔
 
Viti maalumu vinabidi kufutwa ni ujinga kuibebesha Serikali mzigo .

Lengo la kuwepo kwa viti maalumu lilikuwa ni kuwapa wanawake nafasi ya kiungozi kipindi ambacho walikuwa hawapewi priority .

Sasa Leo hii viti maalumu Vya nini tena ikiwa wanawake wanapewa Equal chance.
Kenya wana mfumo mzuri wa viti maalumu
 
Viti maalumu vinabidi kufutwa ni ujinga kuibebesha Serikali mzigo .

Lengo la kuwepo kwa viti maalumu lilikuwa ni kuwapa wanawake nafasi ya kiungozi kipindi ambacho walikuwa hawapewi priority .

Sasa Leo hii viti maalumu Vya nini tena ikiwa wanawake wanapewa Equal chance.
Mizigo tua gharama zisizo na maana
 
Nchi hii kama katiba ambayo ndiyo mama wa sheria inabakwa, masuala mengine yatashindikana?
 
Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge hapo kabla.

Yaani, mwanamke aliyewahi kuwa mbunge (ama wa kuchaguliwa, kuteuliwa na rais au viti maalum) unamuona tena akipambana kurejea bungeni kwa kiti maalum!

Nitaweka mifano michache hapa ya wanasiasa ambao walishawahi kuwa wabunge lakini baadaye wakarejea au wakataka kurejea bungeni kwa ubunge wa viti maalum.

1. Halima Mdee
2. Ritha Mlaki
3. Esther Bulaya
4. Dr. Asharose Migiro
5. Esther Matiko
6. Balozi Mula Mula
7. Kaboyeka
8. Angela Kairuki
Wanavunja Katiba?
 
1. Ubunge ulitakiwa maximum three terms.
2. Ubunge wa viti maalumu ni unyonyaji.
3. Uwaziri uwekewe mfumo mzuri wa kupatikana, sio kuteuana huenda kwa namna za kujuana

Kimsingi mambo mengi nchi hii yanahitaji reforms.
 
Nchi za Africa hazitokuja kuendelea kwakuwa wanakariri mambo na kuiga.

Lengo la viti maalumu ni nini ? Tuanzie hapo?
Sio kuiga nazani ni kusapoti wanawake kwa muda fulani, Kenya wanapanga kuondoa mbona, kuna nchi nyingi hata za Africa hawana huo utaratibu kwa sasa
 
Hizo ni njia za upigaji kwakuwa 90% wanaopata hizo nafasi wanapewa na sio kwa sababu wana akili za kiuongozi .

Ilibidi zifutwe hizo nafasi na wagombee .

Haya mambo ya kubebwa yanafaa yaishie katika family level
 
Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge hapo kabla.

Yaani, mwanamke aliyewahi kuwa mbunge (ama wa kuchaguliwa, kuteuliwa na rais au viti maalum) unamuona tena akipambana kurejea bungeni kwa kiti maalum!

Nitaweka mifano michache hapa ya wanasiasa ambao walishawahi kuwa wabunge lakini baadaye wakarejea au wakataka kurejea bungeni kwa ubunge wa viti maalum.

1. Halima Mdee
2. Ritha Mlaki
3. Esther Bulaya
4. Dr. Asharose Migiro
5. Esther Matiko
6. Balozi Mula Mula
7. Kaboyeka
8. Angela Kairuki
Njaaa

Hao waliotoka Chadema wao wanapenda kugombea
 
Back
Top Bottom