Mwanamke aliye tayari kuingia kwenye ndoa

nimengoja pm kwel hata hawaj sijui vgzo ndyo tatazo!

We tulia kwanza..watakuja lakini sio hawa wanaokoment humu..!
Watakaokuja ni wenye ID ambazo hujawahi kuziona...
..Lakimi uwe makini kiongozi....hili ni chaka!
 
asante kiongoz umakin n muhmu
 
philophy unaonekana huna utulivu kbsa nakama huta tulia utaruka na gumegume.
 
We tulia kwanza..watakuja lakini sio hawa wanaokoment humu..!
Watakaokuja ni wenye ID ambazo hujawahi kuziona...
..Lakimi uwe makini kiongozi....hili ni chaka!
Ni hawa hawa lakini wataji- Camouflage(jeshini tunaita ujanja wa porini).
 
na uwe serious kweli siyo kuchafua jukwaa tu, wengne tunaliheshmu sana maana tumepata wenz we2 humu na tunaendelea na mipango ya ndoa.

hongera aisee, nikutakie kila la kher ktk maandaliz yenu tuna ngoja kadi tu.
 
kila aliye makini humu hufanikiwa kumpata mwenz lakn wenye papara na tamaa huishia pabaya. tafuta utuliv dogo
 
Back
Top Bottom